Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
ha haaa, na mimi nimefanya makusudi babu, lol!Hapa ndipo mtu unatamani kumpa mtu zawadi ambayo hataisahau ila unajikuta umefungwa mikono na miguu....
Mwanamume hawezi kucheka cheka na mechi ya kwanza hata kama ina ugumu wake.... Lazima mtu apata adhabu hadi ahisi kama vile kamwagiwa pili pili kwenye macho.... May be huyu ticha gfsonwin anaongelea mambo mengine..lol!!
Hapo pengine hapna maana kwa wastaafu (na kwa maana hiyo sijapaona)...lol!!
Babu DC!!
Kwa analysis zako za haya mambo huwa sina neno la kuongeza....
Ni kweli kwamba hawa vijana wote wanahitaji msaada.
Ila kitendo cha kijana cha kijana wa KIUME kukimbia mechi uwanjani tena kwenye viwanja vikubwa vikubwa kama Old Traford au Santiago Benarbeu ndiyo kinanatutisha sisi wastaafu...
Cc: Kaizer, The Boss, Mtambuzi, BAK, Eiyer, Asprin....
Babu DC!!
juzi kuna comment niliirushia watu wakaniona mimi kama mwehu, lakini nilimaanisha...Nimefurahi kuwaona gfsonwin na Fixed Point
babu dc leo umeamua jamani.
Mimi nachoshangaa kijana kalala na ke mpyaaa afu eti asubuhi haijastand?hivi kweli inakuja?
Special copy kwa mjasiria ujumbe unafiki mbaya
ha haaa, na mimi nimefanya makusudi babu, lol!
nimecheka zaidi hapo kwenye pilipili kwenye macho, kuna mahusiano kweli? lol! ila mfano wa pilipili upo sahihi....
Dunia ya sasa imekuwa the opposite
wanawake wanavaa suruali,wanaume wanavaa hereni.
basi tabu tupu..
ha haaa, mfano wa maji pia nimekupata vizuri, lol!Hahahahahahhaah,
Tulipokuwa wadogo sana na endapo mtu anakula pili pili ya baba au mama kwa bahati mbaya, basi anakimbiziwa kikombe cha maji kuosha mdomo. Hii strategy pia ilinisaidia siku nilipofika kwa kwa Wahidi. Yaani unakula kijiko kimoja halafu unasukumiza na maji....
May be ndo maana kumbukumbu zangu zinanionesha mtu akikimbia kutafuta maji ili kupoza makali baada ya kupigishwa kwata......
Jamani 1947 haitakaa ilirudi aisee....
Babu DC!!
juzi kuna comment niliirushia watu wakaniona mimi kama mwehu, lakini nilimaanisha...
hebu babu Dark City tuambie ukweli, kweli kabisa unaweza kulala na key (mpya au ya zamani) halafu mwili ukawa wa baridi? yaani hata shock ndogo tu hakuna?
binafsi sijawahi ona hii, na ndo maana nikatafsiri kuwa labda huyo me havutiwi nawe, otherwise ana matatizo ya kiafya
ha haaa, mfano wa maji pia nimekupata vizuri, lol!
kumbe siku nyingine ukilaza unaondoka, ha haaaa
Tunawasaidiaje sasa hawa wazukulu (wajukuu)??
Au ndiyo tunakubali kuondoka na mbegu zetu kama wagumba??
Babu DC!!
Unajua whats funny ni kuwa kadri wanaume wanavyobadilika
ndo kadri wanawake wanavyolalamika..
so bora wanawake wakubali tu kuwa
mfumo dume ni bora kuliko mfumo jike wanaotaka kuuweka in the name of equal gender..
sababu hasara wote tunaiona
Achana na mupya babu....Mkubwa mwenzangu, umeme wa opposite sex zinapogusana (zikiwa mupya kabisa....na zina usongo) ni hata sana.
Nadhani ni bidhaa ambayo nyie na shule yenu ya uchumi mmeacha tuendelee kukalia uchumi kama wajinga......
Its more than electricity.... Na ndiyo maana sitaki kuamini kwamba vijana wa namna hii ni wazima!
Babu DC!!
sasa hiyo itakuwa kesi nyingine kila siku atakuwa amechoka na ukimpiga analala!!!wengine wanakuwa na mausingiz yao, kafanya kazi kutwa nzima amejichokea, unapretend kafika ili umalize apige zake usingiz... kalaghabaho
ha haaaa, ndo maana pale kwangu marufuku usawa......Unajua whats funny ni kuwa kadri wanaume wanavyobadilika
ndo kadri wanawake wanavyolalamika..
so bora wanawake wakubali tu kuwa
mfumo dume ni bora kuliko mfumo jike wanaotaka kuuweka in the name of equal gender..
sababu hasara wote tunaiona
ha haaaa, si-regret kuwa wa mwaka 1947, nitakuwa hivyo again and again nikipata chance.... kuna raha saaanaaaa😎Wewe siyo kilaza wala kiazi....unafanyaga makusudi tu mkubwa mwenzangu ili kuleta ladha ya mastory....
Ndiyo maana wajukuu hawatuelewi tunavyojipigiaga story zetu za 1947.....
Ili ufikie point unaanzia kama Kimara, kumbe mwenyewe unataka kumwelekeza mtu mazingira ya Kisutu....
Ina raha yake lakini, kwa wale ambao wanajua maana yake.....au siyo mkubwa mwenzangu??
Babu DC!!
ha haaaa, ndo maana pale kwangu marufuku usawa......
baba ni baba, ataendelea kuwa kichwa cha familia...... mimi ndo mama mwenye nyumba, lol!
Achana na mupya babu....
hebu niambia hapo kwako pamoja na kuwa ndo mnakula pension na bibi inawezekana kabisa usiku upite hivi hivi? na wote wazima wa afya?
pale home huwa namtaniaga babu kuwa siku ambapo atashindwa kula basi nitampeleka akatundikiwe drip maana atakuwa kwenye hali mbaya sana kiafya....... mtu yupo kwenye dose ya quinine na msosi unapanda kama kawaida
ha haaaa, ndo maana pale kwangu marufuku usawa......
baba ni baba, ataendelea kuwa kichwa cha familia...... mimi ndo mama mwenye nyumba, lol!
sasa hiyo itakuwa kesi nyingine kila siku atakuwa amechoka na ukimpiga analala!!!