Dilemma!!!

hahahahahahaha!
Nguvu za kiume kwa vijana ni janga la taifa.
Huyo mwanaume hafai raha ya mwanamme akukoroge ukorogeke.
Piga chini wenzake siku ya kwanza wakipewa gemu hawalali.....
 
sikiliza nikupe siri shosti...kama kweli unampenda kwa dhati, kwanza usichukulie hilo km ni tatizo, bali chukulia kama ni mtihani mdogo tu na utapita...mwambie awe makini na vyakula anavyokula, pia anywe supu ya pweza, ale karanga mbichi nk..vyakula vingine msaidie hata ukipata nafasi ingia google usachi utavijua tu. Pole sana na kila la kheri Inshaallah!
 

sawa kaka....... nashukuru
 

Ahsante sana mkuu kwa shule yako ya nguvu....naiona science ya kutosha ingawa nitahitaji muda kidogo kufanya utomaso...

Mimi siyo mlaji wa pili pili kabisa...ila nashangaa kama mbwa mzee naye anaweza tena kufundishwa kuwinda...

Babu DC!!
 
ha ha ha umeuaaaa!!
 

Pamoja na heshima zote kwako teacher,

Bado natofautiana na wewe kuhusu siku ya kwanza kwa Me. Hata kama perfomance siyo Maximum ila mtu anajitahidi kuonesha viwango vya kutosha ili kujihakikishia namba kwenye kikosi cha kwanza.... Kwa KE nasikia huwa imetawaliwa na hofu kibao...mtasema wenyewe!!

Kama nakosea, ngoja wakubwa wenzangu wakuje watusaidie kukata hili shauri...
Kaizer, The Boss, Asprin, BAK, Eiyer, Mtambuzi, Fixed Point,

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:


yaani huyo siku akila hivyo nia akipiga ta.ko mbili tu ameshamaliza..........
 

mkuu wangu Dark City ukishasema wewe mzee wmenzangu baaas,, neno linakuwa sheria
gfsonwin my sweetlo thanks for analysis, nimekusoma uzuuri kabisa...sina tabu miye
 
Last edited by a moderator:
Hili swala sio geni sana kwangu mara kadhaa nimekuwa nikisikia wanaume wakilala mikiwa na wake zao au wapenzi, na pia hata wanaume wenyewe wamekuwa wakijilala mikia na kujiuliza nini chanzo au nini tiba ya tatizo hili,sifa moja wapo kubwa ya mwanaume ni kuweza kumudu mchezo pale kwenye kiwanja cha fundi selemara.

Tatizo la wanumekukosa nguvu la kumudu tendo kiukweli ni kumbwa sana hapa kwetu Tanzania na duniani kote wanaume wengi wamekubwa na tatizo hili. Kwa hapa kwetu ukitaka kugundua hili ni janga kuna matangazo mengi sana magazetini, redioni na waganga wa kienyeji wa kinadi kuwa wanazo dawa za nguvu za kiume tena wakizipa majina mengi sana ya kusisimua kama kombora, simba na nyati siushasikia mziki wa nyati akikasirika sasa jenga picha nguvu ya hiyo dawa.

Upungufu wa nguvu za kiume unasababishwa na mambo mengi, baadhi yao ni lishe duni hasa mboga za majani, kutokula aina mbalimbali za jamii ya karanga (nuts), matumizi yasiyofaa ya ulevi kama pombe, sigara na dawa za kulevya, dawa zinazotibu baadhi ya magonjwa kama kisukari, shinikizo la damu, magonjwa ya akili na vilevile kutopumzika kunakosababishwa na shughuli nyingi za kijamii hivyo kusababisha uchovu.

Ushauri wangu kwako unachotakiwa kufanya ni kuwa muwazi kwa mwezako na kumwambia jinsi usivyo ridhishwa na mapenzi yake, kwa sababu tatizo hili la kukosa nguvu ya kumudu tendo imegawanyika katika makundi mawili yapo ya kimaumbile na yale yatokanayo na maisha yetu ya kila siku. Hii itasaidia kunusulu penzi lenu kuzama na wewe pia jaribu kutafuta njia mbali mbali na kumshauri.
 
Karibu Babu, jipe muda utomaso utakuleta kundini.

mbwa mzee anajua trick zote, nina mengi ya kujifunza kwako mkuu. mwenyewe ni mpenzi tu wa pilipili siku nyingi.
nikiwa primary school (kijijini), jamaa walikuwa wanaweka dau nakula yale mapilipili marefu mekundu kama sita ivi kuonesha ugumu (hakuna kumeza, unakaa nayo tu kinywani). haki ya nani nilikuwa nasikia kama mashavu yanang'oka na kuwaka moto, lakini kwa kuwa ni mtoto wa kiume, tulikuwa tunajua mwanaume huwa halii. so unakomaa hivyo hivyo unachukua dau lako unaenda kujipooza na chochote. ukiniambie nile kile kiwango sasa lazima nizimie kwa kweli.

Hujachelewa kufaidi uzuri wake mkuu. (apetizer, kupunguza colestro na kukuburudisha) hiyo faida ya mgegedo tuachie sisi taifa la kesho.

Tized.


Ahsante sana mkuu kwa shule yako ya nguvu....naiona science ya kutosha ingawa nitahitaji muda kidogo kufanya utomaso...

Mimi siyo mlaji wa pili pili kabisa...ila nashangaa kama mbwa mzee naye anaweza tena kufundishwa kuwinda...

Babu DC!!
 
uko safe sana babu usiongope.
manake naona uemanza kujitetea............
hayan bhana karibu twende ngongongare

Halafu siju kwa nini jinsia yenu ina tabia ya kuwachokoza sana wasiojiweza......??

Mie nimeshastaafu bwana na mniache nijilie pensheni yangu na Bibi.....

cc: Fixed Point, snowhite, Smile, Kongosho....

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
mkuu wangu Dark City ukishasema wewe mzee wmenzangu baaas,, neno linakuwa sheria
gfsonwin my sweetlo thanks for analysis, nimekusoma uzuuri kabisa...sina tabu miye


Ahsante mkuu....

Nitumie bill zako zote za vinywaji na mazaga zaga mengine kwa siku 7 kuanzia leo (natoa siku 7 kama za Lyatonga)!!

Babu DC!!
 

Ngonja niongee na bibi anisaidia kujifunza hii kitu ya kutoa machozi. Bibi ni mpenzi sana wa kula pilipili....

Labda ndiyo maana enzi zake alikuwa anapiga kelele hadi majirani wanakuja kwa rescue kumbe mtu yuko kwenye maraha...lol!!

Hii biashara ya kustaafu hii....nyie isikie tu....

Babu DC!!
 
kwa upande wangu naungana nawe kabisaaaaa.....
mechi ya kwanza kwangu huwa inakuwa ngumu sana,,,,, yaani utaniona kabisa nimebadilika sura na nina hofu sana yaani sina amani.
lakini kwa uzoefu wangu kidogo niliokuwa nao (kama wakaka 150) hivi, (hivi dunia ina jumla ya wanaume wangapi babu? teh teh tehhhhh). siku ya kwanza kwa mwanaume inakuwa ni siku ya mauaji...... yaani hata kama utakuwa naye kwa masaa mawili atahakikisha ameyatumia yoooteee bila hata kukupa pumzi. kama ana wewe usiku kucha basi jua kabisa hiyo siku hakuna kulala. siku nyingine anaweza zembea but siyo siku za mwanzo
 
Halafu siju kwa nini jinsia yenu ina tabia ya kuwachokoza sana wasiojiweza......??

Mie nimeshastaafu bwana na mniache nijilie pensheni yangu na Bibi.....

cc: Fixed Point, snowhite, Smile, Kongosho....

Babu DC!!
babu, kwani ukichokozwa ni lazima uchokozeke?
mbona jinsia ya sisi tuna uwezo wa kutochokozeka hata uje na gunia la misumari?
 


Hapa ndipo mtu unatamani kumpa mtu zawadi ambayo hataisahau ila unajikuta umefungwa mikono na miguu....

Mwanamume hawezi kucheka cheka na mechi ya kwanza hata kama ina ugumu wake.... Lazima mtu apata adhabu hadi ahisi kama vile kamwagiwa pili pili kwenye macho.... May be huyu ticha gfsonwin anaongelea mambo mengine..lol!!



Hapo pengine hapna maana kwa wastaafu (na kwa maana hiyo sijapaona)...lol!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
babu, kwani ukichokozwa ni lazima uchokozeke?
mbona jinsia ya sisi tuna uwezo wa kutochokozeka hata uje na gunia la misumari?


Kwani na mimi ni jinsia yenu??

Ila jana Preta alisema hataki kabisa kusikia mijamaa ya Cameroon ambayo imekaa kaa kama yote inacheza sumo (ila haijalea minofu ya kizembe zembe)...lol!! May be yeye pekee ndiye anachokozeka!!


Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, mimi na wewe tuko karne tofauti.... uzinzi ndo habari ilotukuka siku hizi

MKuu uko sahihi, maana siku hizi naona watu wanaweka na mabango kabisa, unasikia eti unajua jana nilikuwa nananihii na fulani halafu hakuniridhisha. Yaani eti mada ni kutoridhishwa na sio uzinzi khaaaa!!!
 
Nimefurahi kuwaona gfsonwin na Fixed Point
babu dc leo umeamua jamani.
Mimi nachoshangaa kijana kalala na ke mpyaaa afu eti asubuhi haijastand?hivi kweli inakuja?

Mdodo wangu amu,

Naomba uendelezee hapa nilipoishia....ngoja nikacheze na wajukuu kwanza. Sitaki siku moja muanze kunijadili mie kwamba nazeeka vibaya...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…