PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 9,105
- 29,909
nimeuliza bei ya huawei p9 ni tsh 800000/= sio mbaya nitafumba macho nichukueHuawei p9 au p10 lkn na bei zake zipo juu sn
mkuu kwa hizo iphone naona kama nitakuwa jela tu kama ilivyo kwa window phone,uwezo wa kununua iphone 6 ninao isipokuwa huko sitakuwa huru kama androidKama Una pesa iPhone ndiyo cm, hizo zinazoingia virus sio deal
poa kaka nimekusoma bora nifanye maamuzi ya huawei kuliko kuisubiri nokia 6Chukua hiyi Huawei p9 iko vizuri sana
Dukani shs ngapi uhawei p9 ya gb 64poa kaka nimekusoma bora nifanye maamuzi ya huawei kuliko kuisubiri nokia 6
ndugu nimekuelewa sana tatizo naona kipenzi changu nokia naona anachelewa kuingia sokoni na pesa zetu hizi za kuungaunga itabidi nijibane nisubiri mwezi ujao na pia kumbuka nokia 6 ikitoka bei yake kibongobongo itafika hadi laki 7Nikijiweka kwenye nafasi yako ningechukua Nokia 6. Kwasababu zifuatazo;
1. Kwanza umeisubiri kwa muda mrefu sana. Ila hiyo P9 ilikuwepo sokoni muda mrefu, kwanini hukununua hiyo toka wakati huo? Nunua Nokia tu mkuu. Usiidhulumu nafsi yako.
2. Zote zinatumia Android.
3. Utakua unamiliki brand ya kueleweka. Hiyo P9 haina utofauti na Tecno kimuonekano.
dukani inauzwa laki 8Dukani shs ngapi uhawei p9 ya gb 64
Nikijiweka kwenye nafasi yako ningechukua Nokia 6. Kwasababu zifuatazo;
3. Utakua unamiliki brand ya kueleweka. Hiyo P9 haina utofauti na Tecno kimuonekano.
ndugu nimekuelewa sana tatizo naona kipenzi changu nokia naona anachelewa kuingia sokoni na pesa zetu hizi za kuungaunga itabidi nijibane nisubiri mwezi ujao na pia kumbuka nokia 6 ikitoka bei yake kibongobongo itafika hadi laki 7
Na huyo jamaa anazipendaga sana Nokia nashangaa leo kutaka kuhamia HuaweiChukua Nokia 6 mkuu..
Hadi umeisubiria naonesha jinsi gani usipoinunua utaiwaza sana..
Yeah. Anunue tu, kwani game kitu ganj?Na huyo jamaa anazipendaga sana Nokia nashangaa leo kutaka kuhamia Huawei