Huyu sasa ndio mwanamke. Jamani mie natangaza ndoa hapa.Nisipojua haitoniumiza,nikijua nitaumia ila yote ni juu yako kikubwa wanitunza na magonjwa huniletei....cheat utakavyo heshima yangu niachie.na nguvu za kulea watoto nibakishie nilee wanangu.Siwez pambana na dudu ya mwanaume.Utaangaika utachoka.Katika dunia hii kila kitu ni ubatili atatulia mwishoni akichoka au kaburini