Dilemma: Nipiganie Damu Yangu ili Ndoa Zetu Zitikisike au Ninusuru Ndoa Zetu lakini Damu Yangu Ipotee?

Madhara hayo ya kuchukua sasa?yaani uniharibie ndoa yangu imetulia alafu nikuache tu,I apobidi umafia unatumia kusave baadhi ya vitu
Maneno tuu hayo labda uwende kwa mganga.

Sasa kumbuka pia huyo jamaa sio mtoto wake sawa.
Wewe atakuwa mtoto ni wako.

Lakini unajua madhara ya kubambikizia mtoto mume wakakti si wake??
 
Watoto wa nje wanafananaga sana na baba zao,kuwaumbua
Ngoja mtoto akuwe utakuta yupo hivyo hivyo na Baba.
Kuna mtu alileta uzi humu anasema mtoto wake wa mwisho afanani na yeye anafanana na fanyakazi mmoja anayefanya ofisi moja na mkewe.
Alijua baada ya kwenda msibani uliotokea ofisini kwa mkewe.
 
Maneno tuu hayo labda uwende kwa mganga.

Sasa kumbuka pia huyo jamaa sio mtoto wake sawa.
Wewe atakuwa mtoto ni wako.

Lakini unajua madhara ya kubambikizia mtoto mume wakakti si wake??
Undernormal circumstance angefanyaje kwa mfano?baba ye anajua ni mtoto wake shida iko wapi wanaishi kwa amani?
Kumbe hujui kama mission zinafanyikaga kuokoa mambo mengine?
 
1684396681041.png
 
Undernormal circumstance angefanyaje kwa mfano?baba ye anajua ni mtoto wake shida iko wapi wanaishi kwa amani?
Kumbe hujui kama mission zinafanyikaga kuokoa mambo mengine?
Sikia kama alikuwa ni mke wa mtu kipindi anatokanae basi atulie maana ni long process.
Ila kama hakuwa ni mke wa mtu aaa dogo unachukua.
 
Ati alipojibiwa 'sawa' aliona yamekwisha na maisha yaendelee. Sasa ameona mwenzake amepata kidume ndiyo anaanza kuhangaika 'oooh watoto wangu wote ni wa kike kwa mke wangu'. Kwani watoto wa kike si watoto?

Muache mwenzako aendelee na ndoa yake. Ingelikuwa mimi ningekupita kama vile hatujawahi kukutana.
Ndio ungejua hujui maana mtoto angekuumbua
 
Wazee na wenye dini walikua sahihi sana kuzuia au kukataza mahusiano yoyote na mtu usie weza kuoana naye.

Kitanda hakizai haramu ni msemo ulioibuka kipindi mambo haya yalipokosa ufufumbuzi, mtu anazaa na mke wa mtu katikati ya watoto wako anakuwepo mmoja asie wako na unajua kabisa na pengine hata jamii inajua ila mnabaki kimya na kauli ile ya kitanda hakizai haramu ndio inashika nafasi yake.


Bro tulia hivyo hivyo aisee, kuna damu nyingi sana tunapoteza na hatujui lakini hatujali kiivyo.

Maadamu huyo dogo yupo na maisha yenye heri tulia brother, tulia tuu mkuu, tena kata moja kwa moja mawasiliano na huyo docter labda nature iamue vinginevyo.
Mtoa mada take this piece of advice please. Case closed and RIP LeMutuz
 
Tuliza mshono kwenye ndoa yako kama ambavyo mwenzako aliheshimu ndoa yako hakutaka kukuharibia na wewe hivyo hivyo tulia kama hukuwahi kumpa mimba.
NB:Ila wanaume mnakera yani lijitu linamsifia mke wake kabisa yuko vizuri hana makandokando ila bado unaenda kulikoroga nje hukoo ma-ma-ye...nandika kwa hasira
Watu wengi wanatafuta mke kama huyo hajui thamani yake
 
Back
Top Bottom