Dilema

Ukitaka ukweli huyo jamaa 'is afraid of commitment' au hayuko tayari kuwa na mahusiano ya kueleweka sasa huo utani mwingi ni njia yake ya kukwepa.

kuna kijana mmoja ni single kwa madai yake koz cjamfahamu mda c mrefu so i cant tell more abt him ila kitu nilichojifunza kwake ni kama 1.anapenda utani sana wakati mm sipendi...........yani anatania mpaka pale ambapo hakufai kutania ........mnaongea mada nzito nzuri na deep yy anaingiza utani wa ajabu ambao hata hukuutegemea ndani ya mazungumzo2.hataki kua karibu na mm mda wote hata kama mm nikionesha kutaka kua naye3.ni muoga sana cjui anaogopa nn sasa mwe!4.nimeshamueleza v2 vyote ninavopenda na nisivopenda ila yy bado haelewi sasa sijui ni utoto unamsumbua au bado tu ni akili hazijapevuka mana mpaka nilishamuuliza kwani hujawai kuwa na mahusiano jamani ktk maisha yako ningekua sijawai kutiana naye pengine ningekua na wasiwasi ila yuko poa tu na so hot
aminata! we unataka msaada upi now??? maana mi sion cha kusaidiwa!!!

kuna kijana mmoja ni single kwa madai yake koz cjamfahamu mda c mrefu so i cant tell more abt him ila kitu nilichojifunza kwake ni kama
1.anapenda utani sana wakati mm sipendi...........yani anatania mpaka pale ambapo hakufai kutania ........mnaongea mada nzito nzuri na deep yy anaingiza utani wa ajabu ambao hata hukuutegemea ndani ya mazungumzo
2.hataki kua karibu na mm mda wote hata kama mm nikionesha kutaka kua naye
3.ni muoga sana cjui anaogopa nn sasa mwe!
4.nimeshamueleza v2 vyote ninavopenda na nisivopenda ila yy bado haelewi sasa sijui ni utoto unamsumbua au bado tu ni akili hazijapevuka mana mpaka nilishamuuliza kwani hujawai kuwa na mahusiano jamani ktk maisha yako ningekua sijawai kutiana naye pengine ningekua na wasiwasi ila yuko poa tu na so hot

May be alikuta kitu sio tamu...

daahh.. kwahiyo anakuboaa ??... wamtaka..?? anakutaka???? au . mbona mwatupa kazi ya kujibu sredi

kuna kijana mmoja ni single kwa madai yake koz cjamfahamu mda c mrefu so i cant tell more abt him ila kitu nilichojifunza kwake ni kama
1.anapenda utani sana wakati mm sipendi...........yani anatania mpaka pale ambapo hakufai kutania ........mnaongea mada nzito nzuri na deep yy anaingiza utani wa ajabu ambao hata hukuutegemea ndani ya mazungumzo
2.hataki kua karibu na mm mda wote hata kama mm nikionesha kutaka kua naye
3.ni muoga sana cjui anaogopa nn sasa mwe!
4.nimeshamueleza v2 vyote ninavopenda na nisivopenda ila yy bado haelewi sasa sijui ni utoto unamsumbua au bado tu ni akili hazijapevuka mana mpaka nilishamuuliza kwani hujawai kuwa na mahusiano jamani ktk maisha yako ningekua sijawai kutiana naye pengine ningekua na wasiwasi ila yuko poa tu na so hot

Hapo underlined, uliharakia nini, unatiana unaporidhika na kila sekta mpenzi, hapo ndio uliharibu kabisa..pole sana

aliharibu nini hapo?lol
mwenyewe unaona anasema hamjui viizuri na wala hajui kama ni single au laa
lakini akatiana nae kwa utashi wake....sasa wewe na wivu wako eti kaharibu...lol
taratibu wewe...

Basi asiulize kitu, maana kama huitaji kujenga uhusiano ndio mnakimbilia kusex, baada ya kusex ndio anaanza kumchunguza na kugundua vitu vingi hapendi, hii haifanywi kwa unaetaka future nae bana TB

kuna kijana mmoja ni single kwa madai yake koz cjamfahamu mda c mrefu so i cant tell more abt him ila kitu nilichojifunza kwake ni kama

1.anapenda utani sana wakati mm sipendi...........yani anatania mpaka pale ambapo hakufai kutania ........mnaongea mada nzito nzuri na deep yy anaingiza utani wa ajabu ambao hata hukuutegemea ndani ya mazungumzo

2.hataki kua karibu na mm mda wote hata kama mm nikionesha kutaka kua naye

3.ni muoga sana cjui anaogopa nn sasa mwe!

4.nimeshamueleza v2 vyote ninavopenda na nisivopenda ila yy bado haelewi sasa sijui ni utoto unamsumbua au bado tu ni akili hazijapevuka mana mpaka nilishamuuliza kwani hujawai kuwa na mahusiano jamani ktk maisha yako ningekua sijawai kutiana naye pengine ningekua na wasiwasi ila yuko poa tu na so hot

Aminata darlin it sounds like u two have some sort of a "puppy love". Ila kama umempenda kwa dhati na umri una ruhusu funguka umwambie vitu vinavyokukera and try to tolerate him while he progresses! Wish u luck.. Ila nawe unasema hujamjua vizuri wakati mshafanya kamchezo...mweh ushamjua hapo!

nampenda sana but he seems not to understand me at all

Or u don't want to understand him!

Kwanini wanawake tunajidanganya kuwa twaweza wabadilisha wanaume?

Muache awe himself nawe uwe urself; kama hamwezi cope with each other then break!

Back
Top Bottom