haina classes, reason cjajua mpaka leo ila i think walifikiria kwamba udaktari siyo kukariri vitabu ni practise ndo inakufanya uwe competent. Kuna wengine wanakariri maandishi mkija kuintergrate kwa mgonjwa anakuwa hoi! Ingekuwa na classes watu kama kina nchemba wangeua watu wengi sana. Another way walioweka classes kwenye hizo kozi zingine ndio walioondoa kwenye udaktari,walikuwa na reason zao. Nikisikia mtu anataka kusoma udaktari moyo wangu unatetemeka sana!!
embu tupe sababu za moyo wako kutetemeka mkuu...
salamu wakuu, naomba mnijuze kuhusu hii digrii ya udaktari wa binadamu, je ina classes? maana nyingine huwa nasikia kuwa kuna lower class, first class etc, sasa hii digrii ina haya mambo? kwa mujibu wa baadhi ya watu wanadai hii digrii haina huo mchanganuo, kama ni kweli, ni kwa nini? naomba mnitoe gizani waungwana.
mi nafkiri hakuna classes sabu hiyo ni kuonyesha daktari mmoja anajua kuliko mwingine amayo sio sahihi kuwa daktari unatakiwa uwe unajua
katika kusma udaktari kuna masomo mbalimbali ambayo ufaulu wake uko katika grades A hadi C. Ili kuweza kuchukua master degree inamhitaji kupata kuanzia B, B+ ama A mwanafunzi lakini hata kama ulipata C na hukuweza kuendelea na masomo ya juu zaidi, bado utahitimu na kupewa leseni kama wenzako. Chini ya C hutahitimu na hivo hutakua doctor.
haina classes, reason cjajua mpaka leo ila i think walifikiria kwamba udaktari siyo kukariri vitabu ni practise ndo inakufanya uwe competent. Kuna wengine wanakariri maandishi mkija kuintergrate kwa mgonjwa anakuwa hoi! Ingekuwa na classes watu kama kina nchemba wangeua watu wengi sana. Another way walioweka classes kwenye hizo kozi zingine ndio walioondoa kwenye udaktari,walikuwa na reason zao. Nikisikia mtu anataka kusoma udaktari moyo wangu unatetemeka sana!!
Nadhani inategema na mfumo wa elimu ya vyuo husika. mfano kuna vyuo vinatoa bachelor of medicine and bachelor of surgery (MBBS) kama cha IMTU kwa tanzania ambayo ni sawa na doctor of medicine. Classes mara nyingi inaangalia GPA ambapo kila somo lina unit fulani. Lakini pia ikumbukwe neno Dr. ni kama title au utambulisho, katika afya ni digrii moja. Kuna doctor of medicine, doctor of pharmacy, doctor of nursing etc ect kutegemeana na mtaaala wa chuo husika.