Digital Television Tanzania

Digital Television Tanzania

&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
worry out mkuu, satelite dish inatumia receiver ya digital so utakua hewani, bila shaka unatumia free to air receiver MFT-930+.
<br />
<br />
ukinunua decoder ya ting inayo2mia satellite dish utaenjoy itakuwezesha kupata mawimbi c ya ting tu bali satellite yoyote upendayo.kwa hiyo hata kama utakosa credit utaweza ku2mia kupata FTA tv channels.
 
Sasa hivi wanafanya mchakato wa kuunga fiber optics kutoka kunduchi ilipo kwenda kijitonyama yalipo masatelaiti ya analog wakikamilisha kuunga nadhani itakuwa mwaka kesho so analog ndio itakuwa bye bye
 
Back
Top Bottom