Digital Cameras Canon + Nikon

Mau

Senior Member
Apr 8, 2009
176
10
Habari za hapa ndani wakuu, Naombeni ushauri wenu wa kitaalam katika kununua Digital Camera. Nahitaji Digital Camera kubwa kati ya hizi hapa
Canon EOS 50D
Canon Rebel XSi
Canon Rebel 450D
Nikon D80
Nikon D90
Wakuu kama kuna mtu ana utaalam wa camera naomba ushauri wake na ni wapi nitaweza kupata camera hizi hapa Dar na kwa bei nzuri, vilevile kama zinapatikana Used zilizopo kwenye hali yenye mafanikio ni vizuri pia manake itaweza nipunguzia gharama.
 
If you can, be patience and gather strength to buy Canon EOS D7. Have done my review a few months back on this baby and concluded to be the one of the best choices out there if not the best (at semi pro level). It is bit on the higher price-wise, but for a month's wait, judging from the choices you already made, I believe should give you a good enough reprieve to afford it next time you decide to go for it. Good luck!
 
Back
Top Bottom