nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,397
ndo nilikuwa nakuchungulia hapo chini nikawa nasubiria madongo, lol!
utu uzima dawa, sasa tumewaachia wadogo zetu akina snowhite....
salama lakini rafiki?
te te teeee, huyu kurudi hapa tena labda usiku wa manane, lakini nina uhakika atarudi kutusoma.....najuta safari ya toka kwa ofc hadi hme ilinigharimu kuwa offline uzi umeenda sana huyu nlitaka akitoka hapa akasimulie.
anajiona mwanamke kumbe kiwanda cha kutototleshwa watoto. mwenzio kwa raha zake anakuj=nywa wine zake na kulala kwa starehe shida kwako wewe unayehangaika na visepe na maziwa ya watoto pampers kila saaa na milango ya hospital haikosi.
anajidai tu aje hapa aone vyeti si tu vya shule na vya kitandani dawa yake huyu namsaka huyu bwana kisha natembea uone kama angerudi kwake period. Bahati yako umenikuta mzee. ungeshika adabu.
lane karibu jamvini mdogo wangu,aisee, kumbe eeh? japo kapande hapo kamenifanya nicheke mwenyewe as kuna ka-ukweli fulani ndani yake, all in all bidada umeshusha nondo na darasa la ukweli. Asante weye, be blessed
Ruttashobolwa, snowhite, King'asti, Kongosho, Azote.......
good job.
Chhezeya kuiba mume wa mutu weye, ambaye unamwona kwa madakika, kwa nini usichanganyikiwe ukiwa na ukame!
hapo pata picha mtoto anaumwa, halafu mwenye mume wake anasema tuwatoe watoto kubembea, lol!
hapo ndo patamu..... wewe mwananyamala peke yako, mwenzio mary brown na first family.... utajibeba
FP nina hasira sana na mwizi wa mume wa mtu manake yaliwah kunikuta mm ila niliweza kumdhibiti na leo hii yuko anaumwa hoi kitandani.te te teeee, huyu kurudi hapa tena labda usiku wa manane, lakini nina uhakika atarudi kutusoma.....
ugolikipa wake, kuzalishwa yeye, kutunza mume yeye, mwenzake anajilia tu kila anapojisikia kwa raha zake.....
kama yeye angekuwa anapendwa sana mbona siku zote hizo huyo mama mwenye nyumba hajatimuliwa?
utaishia kuwa kipoozeo tu akitoka kwa mkewe.......
lane karibu jamvini mdogo wangu,
achana na huyu watu tunamvumilia sasa anataka kutupanda kichwani. ngoja kwanza arudi live alifikiri kusoma ndo tunashindwa ndoa. watu tupo humu degree tatu na bado ndoa ziko na 10+yrs. hubby akikutizama kama vile ndo mmetoka kufunga ndoa leo, japo nimezaa lkn kama kigori. hubby anatunzwa hadi anajiona mchanga kila siku.
wacha weweeeeeeeeeeeeeeee hebu niwekeeni ule wimbo wa dada yake mzee yusuph bana maneno semeni..
BAK tafuta huu wimbo bana mwekee huyu dasophy umburudishe manake anafikiri kapataaaaaaaaa kumbe kapatikana.
si bora hata hivyo viuno aviweze?FP nina hasira sana na mwizi wa mume wa mtu manake yaliwah kunikuta mm ila niliweza kumdhibiti na leo hii yuko anaumwa hoi kitandani.
huyu dada anataka hadi akina Blaine wahofie kuoa wasomi. anajisifuuuuuuuuu kumbe sifa zenyewe za kukata kiuno tu. mtakula na kuvaa viuno wewe na huyo hawara. ngoja nanga ipae utarudi hapa kuomba msaada.
si bora hata hivyo viuno aviweze?
watu kama hawa kelele tu hawana lolote!
hakya mama huyu mi nnae hadi atabadili ID ngoja kwanza tulia.
halafu utakuta mtu mwenyewe sura tu yakukopa, umbo la kuazima, kimo kanyimwa na rangi ndo kabisaaaaaaaa
halafu analeta tambo hapa kama vipi ajitokeze hadharani tumthaminishe kwanza.
yap ni type ile ya anna iliyonitesa mimi wakati nikiwa misri
si bora hata hivyo viuno aviweze?
watu kama hawa kelele tu hawana lolote!
kumbe hata nyie mnajua kuzodoa!!hakya mama huyu mi nnae hadi atabadili ID ngoja kwanza tulia.
halafu utakuta mtu mwenyewe sura tu yakukopa, umbo la kuazima, kimo kanyimwa na rangi ndo kabisaaaaaaaa
halafu analeta tambo hapa kama vipi ajitokeze hadharani tumthaminishe kwanza.
nasita kuuliza what you did here. ntabaki kuwepo gizani kwenye hili. i can see you're very angryFP nina hasira sana na mwizi wa mume wa mtu manake yaliwah kunikuta mm ila niliweza kumdhibiti na leo hii yuko anaumwa hoi kitandani.
huyu dada anataka hadi akina Blaine wahofie kuoa wasomi. anajisifuuuuuuuuu kumbe sifa zenyewe za kukata kiuno tu. mtakula na kuvaa viuno wewe na huyo hawara. ngoja nanga ipae utarudi hapa kuomba msaada.
nasita kuuliza what you did here. ntabaki kuwepo gizani kwenye hili. i can see you're very angry
Hapo ni digrii moja. Niambie zikiwa mbili inakuwaje.
Dirgii inakimbiza mume
Maana inaongeza uwezo wa kuhoji
Hahahahahahahahahahahahaha
anakuja muda si mrefu anawalisha wanae!
akinaAnna ni nani?