Mi namskiza mwanaume wangu kama hamuwaskizi wa kwenu ndo inavokula kwenu ivooo. Kanambiaje, hawa saizi yako shughulika nao mi siwajibu lolote. Ndo maana niko na nyie hadi mtulize hivo vijikalio vyenu. Kasema hapa habanduki nyie mlie tu.
Hatutaki kuonewa, tuna upeo wa kupambanua,kama yamekushinda utang'ang'ania ili iweje?wanawake wengi wasomi wasumbufu sana maana elimu yao wanaitumie vibaya na ndio maana wengi wao hawaolewi na hata akiolewa ndoa yao haiwezi kudumu kweli kabisa digree haitunzi mume
Tatizo sio kuiba mume wa mtu, tatizo kujifanya mjuaji hadi kumchokonoa bi mkubwa, ilhali hajamkosea hata kidogohivi mi nashangaa jinsi wake za watu wanavyocharuka kwenye hii mada! mbona wake za watu kibao mnatembea na waume wa watu.
na we da sophy, kwani ukila kimya kimya kuna shida gani?
IN SHORT, KUTEMBEA NA MUME WA MTU WALA SIO ISHU SIKU HIZI TENA WAKE ZA WATU NDO WANAONGOZA KUIBA WAUME WA WENZIO, SASA MNAKUJA JUU NINI NYIE WANAFIKI TU!
DA SOPHY, JILIE MWAYA, ILA KIMYA KIMYA NDO MPANGO MZIMA SHOSTI. Kelele za nini?
Njoo basi utupe hadithi za wknd mama. Ama keshamtoroka mkewe kajja alfajiri
Mmepiga vuvuzela weeeeee hadi mmeishiwa. Ngoja niwape elimu sasa maana hii ya kwangu ni zaidi ya shahada zenu na digirii zenu hata ka mmejaza kapu zima. Niko tafauti sana na nyie, kama hamuoni tafauti basi mna kasoro kubwa. Tafauti zetu:
1. Mi nnapata mapenzi nyi mmepata ndoa.
2. Mi nafurahia kupendwa nyi mnafurahia cheti na pete
3. Mi nna elim nyi mna digirii. Halo.
4. Mi nimefaulu kwenye maisha nyi mmefaulu kwenye makaratasi.
5. Mi nna gari nimenunua kwa hela yangu, nyi wengine mna gari mmenunuliwa na mume mkigombana anaanza kukunanga
6. Nna nyumba zangu mwenyewe wanangu watarithi. Mna nyumba zenu lakini hamna uhakika wanenu watarithi maana hamjui nje wako wangapi na mumeo hajaandika urithi. Bado ndugu wa mume hawajaleta gubu. Mnalo.
7. Napata pesa kwa biashara zangu, nyie mnapata kwa ufisadi wa kughushi nyaraka, kibarua kikiota nyasi kitanuka jumla. Si ajabu wengine mtajiuza. Huruma.
8. Sihitaji ruhusa ya mtu kufurahia maisha yangu. We bila ruhusa hutoki vinginevyo talaka. Pole we.
9. Sihitaji mjadala na mtu kumsaidia ndugu yangu hata shogangu. Wewe hapo hadi mmeo atoe ruhusa hata kama hela yako.
10. Nikimwambia nnachotaka anafata, we thubutu kumwambia hichohicho afu usikilizie mtiti.
Afu mnajitapa hapa.
Hahahaha. Full stressed woman
Kama hizo ndio digirii bora mie nisokuwa nazo. Watoto boding. Mume kachapa lapa. Ni yeye, housegerl na wine. Sa hapo kazi ya housegerl nini kama si kudeki matapishi ya bosi akishakolea wine.
Mmepiga vuvuzela weeeeee hadi mmeishiwa. Ngoja niwape elimu sasa maana hii ya kwangu ni zaidi ya shahada zenu na digirii zenu hata ka mmejaza kapu zima. Niko tafauti sana na nyie, kama hamuoni tafauti basi mna kasoro kubwa. Tafauti zetu:
1. Mi nnapata mapenzi nyi mmepata ndoa.
2. Mi nafurahia kupendwa nyi mnafurahia cheti na pete
3. Mi nna elim nyi mna digirii. Halo.
4. Mi nimefaulu kwenye maisha nyi mmefaulu kwenye makaratasi.
5. Mi nna gari nimenunua kwa hela yangu, nyi wengine mna gari mmenunuliwa na mume mkigombana anaanza kukunanga
6. Nna nyumba zangu mwenyewe wanangu watarithi. Mna nyumba zenu lakini hamna uhakika wanenu watarithi maana hamjui nje wako wangapi na mumeo hajaandika urithi. Bado ndugu wa mume hawajaleta gubu. Mnalo.
7. Napata pesa kwa biashara zangu, nyie mnapata kwa ufisadi wa kughushi nyaraka, kibarua kikiota nyasi kitanuka jumla. Si ajabu wengine mtajiuza. Huruma.
8. Sihitaji ruhusa ya mtu kufurahia maisha yangu. We bila ruhusa hutoki vinginevyo talaka. Pole we.
9. Sihitaji mjadala na mtu kumsaidia ndugu yangu hata shogangu. Wewe hapo hadi mmeo atoe ruhusa hata kama hela yako.
10. Nikimwambia nnachotaka anafata, we thubutu kumwambia hichohicho afu usikilizie mtiti.
Afu mnajitapa hapa.
mwenye digrii kalala, mume karudi kafunguliwa mlango na housegirl, na mzee akiwa ndani ya wine anamuona housegirl kapendezaaaaaaaaaa!!!!!!!!mrembo kuliko mke wake!afanyeje sasa
Mmepiga vuvuzela weeeeee hadi mmeishiwa. Ngoja niwape elimu sasa maana hii ya kwangu ni zaidi ya shahada zenu na digirii zenu hata ka mmejaza kapu zima. Niko tafauti sana na nyie, kama hamuoni tafauti basi mna kasoro kubwa. Tafauti zetu:
1. Mi nnapata mapenzi nyi mmepata ndoa.
2. Mi nafurahia kupendwa nyi mnafurahia cheti na pete
3. Mi nna elim nyi mna digirii. Halo.
4. Mi nimefaulu kwenye maisha nyi mmefaulu kwenye makaratasi.
5. Mi nna gari nimenunua kwa hela yangu, nyi wengine mna gari mmenunuliwa na mume mkigombana anaanza kukunanga
6. Nna nyumba zangu mwenyewe wanangu watarithi. Mna nyumba zenu lakini hamna uhakika wanenu watarithi maana hamjui nje wako wangapi na mumeo hajaandika urithi. Bado ndugu wa mume hawajaleta gubu. Mnalo.
7. Napata pesa kwa biashara zangu, nyie mnapata kwa ufisadi wa kughushi nyaraka, kibarua kikiota nyasi kitanuka jumla. Si ajabu wengine mtajiuza. Huruma.
8. Sihitaji ruhusa ya mtu kufurahia maisha yangu. We bila ruhusa hutoki vinginevyo talaka. Pole we.
9. Sihitaji mjadala na mtu kumsaidia ndugu yangu hata shogangu. Wewe hapo hadi mmeo atoe ruhusa hata kama hela yako.
10. Nikimwambia nnachotaka anafata, we thubutu kumwambia hichohicho afu usikilizie mtiti.
Afu mnajitapa hapa.
Ila ni kweli... Mara nyingi madada wasomi inakuwa shida kubwa kudumu na ndoa zao... suala la kujiuliza je ni degree (usomi wao) au sisi wanaume tunakuwa intimidated nao?
Mke wangu ni mwanasheria.. hayo masuali yake.. heheh everyday is a challenge.. na sithubutu kumdanganya maana inabidi niweze kukumbuka exact words nilizomwambia.
Ila faida yake ikija kwenye mipango ya maisha ananisaidia sana kupanga... na hata kunishauri vyema.
Hii shilingi ina pande mbili, nahisi zote tuzichunguze kabla ya kuitolea maamuzi....
Naomba kuwasilisha!
halooooo umenena mamitoDa Sophy, mi ni mke wa mtu na pia sioni tatizo mtu kutembea na mume wangu(ilimradi kimyakimya) na pia mwenyewe natembea na mume wa mtu(kwa kimya mno), ila nakubaliana na wewe kwenye points zako zote hapo juu BUT AMINI USIAMINI, KUWA KWENYE NDOA NI BORA KULIKO KUA SINGLE. NA PIA UHURU WA KUA SINGLE UNACHOSHA SANA.
KWA VYOVYOTE VILE MUMIE, WE NI MPWEKE NA UNA HASIRA PIA. BUT ANYWAY, JILIE ILA USIMPE STRESS NYUMBA KUBWA BWANA!
madem wengi wenye degree hawaolewi ila 'wanajiozesha' kwa max-bf wao waliowaacha hasa baada ya kuwa used saaaaaaan vyuoni, ww chunguza tu hasa kama umepita chuo chochote
Da Sophy, mi ni mke wa mtu na pia sioni tatizo mtu kutembea na mume wangu(ilimradi kimyakimya) na pia mwenyewe natembea na mume wa mtu(kwa kimya mno), ila nakubaliana na wewe kwenye points zako zote hapo juu BUT AMINI USIAMINI, KUWA KWENYE NDOA NI BORA KULIKO KUA SINGLE. NA PIA UHURU WA KUA SINGLE UNACHOSHA SANA.
KWA VYOVYOTE VILE MUMIE, WE NI MPWEKE NA UNA HASIRA PIA. BUT ANYWAY, JILIE ILA USIMPE STRESS NYUMBA KUBWA BWANA!
Bishost umenifurahisha flani lakini loh, we umezidi mwenzangu. Mi nabanana na baba J kwa kuwa sikubahatika kupata wa ndoa. Sa we una ndoa na bado unachakachua!!!!! Umetisha bibie sio siri.
Mi pia tulipoanzaga na baba J tulitaka tuwe tunapiga kimya lakini mda flani ulifika ikawa kimya haiwezekani tena. Afu mi nkawa sipendezewi mwenzangu anaporudi kule kwenye mastress maana kuna wakati ilikuwa ikifika ule mda wake wa kuondoka unaona kabisa mtu anasononeka ka vile anapelekwa mahabusu. Nkamwambia mwenzangu kwanini uteseke maisha yenyewe mafupi haya. Si lazima urudi huko kila siku. Basi akawa analala. Kwa hiyari yake wala sijamwekea chochote cha ajabu, mapenzi tu mwanaume anapima kule stress huku raha hata ingekuwa wewe. Na tumezaa sasa watoto wawili ndio kabisaa kahamia mwenzangu. Ntamfukuzaje wakati namhitaji. Na kuna wanaye hapa wanamhitaji pia. Basi ndivo ilivotokea naimani umenielewa vizuri.
Hapa niko ofisini kwake nimempitia twende nyumbani. Nafanyaga hivi mara nyingi tu. Yule wa kule hajawahi kumpitia ofisini hata siku moja. Na mnaomlaumu baba wa watu mwacheni hamjui yaliyompata kule.