sasa kama unamsilikilza ilikuwaje akakuchiti???????????
eti habanduki wakati keshabanduliwa na vimwana huko nje
hakuna kitu hapo huyo anasoma ramani ya ku-exit
na siku akitoka kwenye hilo shimo hawezi rudi
Shwain vipi za asubuhi.chachachacha alivyolewa juzijuzi na ukaja kusema anashinda bar si yuko kwako?wewe jiliwaze tu jamaa ana vijibibi vingine huko,jiulize MKO WANGAPI?utaisoma nguruwe kwa kijerumaniHuyu bwana anasemaga mwenyewe kuwa ye ni mnyonge sana kwangu akiniona anasizi. Kanitamkia mara kibao. Na si maneno tu naona matendo. We unafikiri kisa cha kujaribu ulevi nilipomtishia kumwacha ni kipi. Na kwa taarifa yenu akiwa na mimi haonji pombe hata. Pombe alikuwa anakunywa alipokuwa na yule mlevi wa kule. Hamuoni nimemsaidia.
Shwain vipi za asubuhi.chachachacha alivyolewa juzijuzi na ukaja kusema anashinda bar si yuko kwako?wewe jiliwaze tu jamaa ana vijibibi vingine huko,jiulize MKO WANGAPI?utaisoma nguruwe kwa kijerumani
yaani ukae uongee sense gani na huyu ngumbaru. are you serious? hana akili hata moja, utaongea nae nini aelewe sasa. hapo alipo hajajua anaenda ama anarudi? mtaongea ya kushoto, kulia, juu ama chini? mwanamke kama huyu nikimkuta na Paw wangi nitaishia kumuonea huruma tu mume wangu kwa kubakwa kwenye chaka la miiba aisee.
Huyu bwana anasemaga mwenyewe kuwa ye ni mnyonge sana kwangu akiniona anasizi. Kanitamkia mara kibao. Na si maneno tu naona matendo. We unafikiri kisa cha kujaribu ulevi nilipomtishia kumwacha ni kipi. Na kwa taarifa yenu akiwa na mimi haonji pombe hata. Pombe alikuwa anakunywa alipokuwa na yule mlevi wa kule. Hamuoni nimemsaidia.
nimeitika kwa heshima yako mkuu!
uliza wanaonijua wakwwambie nikoje akiniona huyu kifuku mkojo atajuta kuzaliwa!
Huyu bwana anasemaga mwenyewe kuwa ye ni mnyonge sana kwangu akiniona anasizi. Kanitamkia mara kibao. Na si maneno tu naona matendo. We unafikiri kisa cha kujaribu ulevi nilipomtishia kumwacha ni kipi. Na kwa taarifa yenu akiwa na mimi haonji pombe hata. Pombe alikuwa anakunywa alipokuwa na yule mlevi wa kule. Hamuoni nimemsaidia.
Kuna umuhimu wa JF wakaboresha hili jukwaa. Kuwe na private area member anasevu information zake ikiwemo picha, na akitaka kwa hiari yake aruhusu member mwingine ku-access.
Does this sound creative?
nimeitika kwa heshima yako mkuu!
uliza wanaonijua wakwwambie nikoje akiniona huyu kifuku mkojo atajuta kuzaliwa!
Ngashtuka. Itabidi picha zikawe certified mahakani kwanza kabla ya kuruhusiwa kuwa uploadedVere creative, kama fb
Yaani nilivyo bonge la hendisamu mabinti watanililiaje? Hadi nawahurumia
Ngashtuka. Itabidi picha zikawe certified mahakani kwanza kabla ya kuruhusiwa kuwa uploaded
Siku hizi mabiutifulu mnaajiita handisamu. Sasa sijui mahandisamu tujiiteje? Kyuti?He he he, mie hendisamu, sihitaji kuwa na certificate ya mahata kwenye picha yangu
aanze yeye kwanza mwizi wa waume za watu, angekuwa mzuri si angeolewa bwana???
Vimwana gani kaja kwako? Sa mi ndo namjua haendi kokote nawahakikishia. Sababu naijua mie. Ataondoka siku nikitaka, na hili pia analijua. Wameshindwa wachungaji wa kilokole mtaweza nyie walevi. Mapenzi kitu ingine acheni nyie. Yule kule kakesha muda gani kwenye maombi kamulizeni. Kwa Kakobe na Lusekelo kote kaenda hela zimeliwa zilizobaki ananywea wine.