Nimeangalia pekundu hapo nikajua kumbe mnafahamiana!
Mi nlikua nashindwa ku'follow, nikasema mwalimu vipi leo nyongo imetibuka asubuhi asubuhi?!
na huyu bwana ulizaa nae hapa
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/67475-mwenzenu-hii-mimba.html?highlight=
ahaahahahha huyu ni kwapa tuuu heshima yake lazima kiwembe!we da sophy we ni sawa na zulia la mlangoni tu, linafutiwa miguu na kila mtu
wala huna tofauti na toileti pepa inatumiwa na kutupwa chooni
siku zako na huyo mume wa mtu zinahesabika ipo siku tu atarudi kwa mkewe
Usitake kujua sana, utachanganyikiwa
Mie nimedandia tu tren baada ya kuchanganyikiwa
Eeh, Da Sophy rudi basi ujibu makombora
huyu ni wa moja mbili havai.aahhahahhahahh ndo yale yale ya mi darasa la nne mume wangu kaishia la tatu basi tumemaliza darasa ala saba!
kwa taaarifa yako na wengine woootw wakina ANNA
utabaki kuwa makumbi ya nazi tuuu!heshima yako jiko la kuni!
hadhi yangu hufiki MILELE!MILELE!
hata UDHIKIR UCHI!
huipati hadhi ya huyo dada wa watu!
ahaahahahha huyu ni kwapa tuuu heshima yake lazima kiwembe!
hata lije winchi la strabeghuyu ni wa moja mbili havai.
ata akitafuta fusho la kiabeshi bado hapandi hadhi.
hana nafasi ya mke wa ndoa zaid ya kuwa mashine ya kutotoleshwa.
ataishia kuchanika misamba kuitia K makovu. hana lolote huyu.
hata lije winchi la strabeg
hadhi aliyonayo mwenzie haipati kamwe!
Kumbe unasubiri, hahahah
Filimbi nyiiiingi mishavu imewatuna kwa kujawa mapovu kisa digirii zenu zilowajaza ujinga. Kama kusoma dili mbona walosoma tuko wote kwenye sacos tunabembeleza msingi wa kuuza losheni. Na biashara hamuiwezi kote tunawapiga bao. Nyie pesa zenu mnabahatisha kwenye semina na kongamano za mafisadi wenzenu huko maana hata bwana wa kuwahonga hamwezi pata kwa nyodo zenu. Eti niwakimbie kwa lipi?