Difference between e303-hilink and e303 normal ones

Difference between e303-hilink and e303 normal ones

Nanomyte

Member
Joined
May 28, 2013
Posts
90
Reaction score
11
can any one please help me what is the difference between these two in terms of Speed. and which one should i buy.
thanks in advance
 
Sijasoma Product Specifications za Hiyo modem ila navyojua Bongo Modem speed ni HSDPA(download) 7.2Mbps na HSUPA(upload) 5.7Mbps hivo usitegemee kununua modem mpya kukuongezee speed sababu ni Toleo jipya zaidi kitu kipya walichofanya au kuongeza ni hiyo WEB UI yaani haitumii Dashboard bali Dashboard unafungulia kwenye Browser or less uichakachue

MAONI YANGU
Kama unatafuta Speed kubwa ya modem ingia Youtube afu search "Huawei E3131 Speed"
Utaona vijana wanapakua mafile kwa speed inayofikia 2.5MB/S
HUAWEI_E3131_3G_USB_STICK_21Mbps_downlink_2.gif

Tofauti ya Huyo Hilink na huyu mwingine ni hilo tu la kumfanya asitumie Dashboard na asisome COM port
 
can any one please help me what is the difference between these two in terms of Speed. and which one should i buy.
thanks in advance
  • E303 Hilink - haina tatizo la disconnection hata kama kutaicha connected 24hrs, Ukilinganisha na hizi modems zitumiazo dashboard.
  • E303 Hilink - Ina mode mbili, na WEB UI ndio default
 
MAONI YANGU
Kama unatafuta Speed kubwa ya modem ingia Youtube afu search "Huawei E3131 Speed"
Utaona vijana wanapakua mafile kwa speed inayofikia 2.5MB/S

  • Hapa kuna kitu kimoja cha msingi cha kuzingatia ni nacho ni: Waweza kuwa na modem ya 21mb/s lakini speed utakayoipata haitozidi kamwe speed anayokupa ISP kutokana na Eneo ulilopo.
  • Mfano hai nipo safarini (huku tanganyika), Maxmum speed niipatayo huwa haizi 35kb/s
  • Je kama ningekuwa na hiyo modem ya 21mb/s ingenisaidia vipi?
 
Labda omba mwenyewe nayo uazime siku moja uone mm kama modem ya 7.2Mpbs kama huwa nafikisha 1.3MB/s basi nikishika 21.6Mbps modem basi ujue ni 3times faster
Speed lazima iongezeke maana Airtel e.g ni 3G+ i.e 3.75G na hii modem ni 3G+ hivo get convinced kuwa speed ISP anasupport lkn device anazokuuzia hazisupport hata kidogo
Au angalia SPEED ya Vodacom Routers ni kiasi ngani ndo ujue kuwa ISP hana shida kaachia speed tu
https://www.vodacom.co.tz/special/featured/wireless_router

Ongeza maarifa hapa
High-Speed Downlink Packet Access - Wikipedia, the free encyclopedia

EVIDENCE
View attachment 114795
tanga kunani hio

nimetumia nmd na natumia os ya w8.1 32bit

nimejaribu kwa modem ya 42mbps kitu idm kinazidi 1MBps
1arbvnfiag9exavqw38g.png
 
  • Mfano hai nipo safarini (huku tanganyika), Maxmum speed niipatayo huwa haizi 35kb/s
  • Je kama ningekuwa na hiyo modem ya 21mb/s ingenisaidia vipi?
'
  • Je umeelewa hiki nilichokiandika?.
  • Swali la msingi ni hili, hapa nilipo coverage ni EDGE {2g},kwa mitandao yote:-Tg,VoDa na airtel, natumia modem ya 7.2mb/s , Maximum speed niipatayo haizi 35kb/s.
  • Swali je modem ya 21mb/s itakuwa na msaada gani?
Labda omba mwenyewe nayo uazime siku moja uone mm kama modem ya 7.2Mpbs kama huwa nafikisha 1.3MB/s basi nikishika 21.6Mbps modem basi ujue ni 3times faster
Speed lazima iongezeke maana Airtel e.g ni 3G+ i.e 3.75G na hii modem ni 3G+ hivo get convinced kuwa speed ISP anasupport lkn device anazokuuzia hazisupport hata kidogo
Au angalia SPEED ya Vodacom Routers ni kiasi ngani ndo ujue kuwa ISP hana shida kaachia speed tu
https://www.vodacom.co.tz/special/fe...ireless_router

Ongeza maarifa hapa
High-Speed Downlink Packet Access - Wikipedia, the free encyclopedia
  • Hapa umetoa maelezo mengi pasipo kuzingatia msingi wa swali.
Ni sawa uulizwe "Taja njia bora za kupanda mlima kilimanjaro ", Wewe unajibu kwa kueleza njia bora za kupanda mlima Everest.
  • Kama mwalimu nakupa kosa.
Karibu njunwa tuendelee kubadilishana maalifa
 
hizi ndio speed na maeneo zinapopatikana tanzania

speed ya 2g
hapa kuna network za aina mbili
1.gprs- hii inapatikana nchi nzima na maximum ni 6kBps
2.edge- hii ni 2g ya kisasa ina speed angalau unabrowse html inapatikana karibia nchi nzima ila kuna maeneo haipo na maximum speed ni 35kBps
3. cdma- hii inapatikana kwenye mitandao ya zantel na ttcl kwenye modem na ina speed kama edge tu

speed ya 3g
3g imegawanyika makundi mengi sana na ina speed tofauti nitajaribu kuelezea makundi muhimu yanayopatikana nchini
1.wcdma- hii ndio ya mwanzo mwanzo na ndio 3g iliyopo kwenye feature phone (inaandika 3g tupu) speed yake huwa haizidi 60kBps kwa tanzania inapatikana maeneo yote yenye 3g

2.hspa(hsdpa, hsupa)- hii kwenye simu inaandika 3.5g au H ina speed zaidi kuliko wcdma na inapatikana maeneo yote yenye 3g na kwa tanzania inapita 1MBps (8mbps) hivyo modem ya 7.2mbps inakua kama haitoshi modem inayofaa hapa ni ya 14.4mbps

3.hspa+(3.75g)- hii ina speed kuanzia 21mbps hadi 42mbps so far nimeiona dar tu simu yangu ikiandika h+ si kila mtu anaweza kuipata hii speed hadi kifaa chako kiwe kinasuport hii tech, mara nyingi ni simu kubwa kubwa kama lumia na galaxy s series na note. hapa ndo panapohitaji hio modem ya 21mbps
 
'
  • Je umeelewa hiki nilichokiandika?.
  • Swali la msingi ni hili, hapa nilipo coverage ni EDGE {2g},kwa mitandao yote:-Tg,VoDa na airtel, natumia modem ya 7.2mb/s , Maximum speed niipatayo haizi 35kb/s.
  • Swali je modem ya 21mb/s itakuwa na msaada gani?

  • Hapa umetoa maelezo mengi pasipo kuzingatia msingi wa swali.
Ni sawa uulizwe "Taja njia bora za kupanda mlima kilimanjaro ", Wewe unajibu kwa kueleza njia bora za kupanda mlima Everest.
  • Kama mwalimu nakupa kosa.
Karibu njunwa tuendelee kubadilishana maalifa

mwalimu swali lako halikuwa WAZI lkn kwa kuwa umetaja neno 2G basi umesomeka na ningekujibu vizuri
Modem ya 3G+ itakusaidi kuacess 3G+ network vizuri

Soma hiyo Part ya 3G kipengele no. 2 na 3 kuna majibu yote kwenye makala ya chief-mkwawa
Modem hii itakuaidia ku-acess kile ambacho huwezi kuki-acess kama unatumia 7.2Mbps modem wakati coverage inazidi uwezo wa Modem
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom