Nachukua fursa hii kumpa pole rafiki yangu Nape Nnauye kufuatia kifo cha muasisi wa kaulimbiu aliyopenda kuitumia ya " goli la mkono" au mkono wa Mungu.
Kuishi maisha yanayompendeza Allah ni kitu bora sana.. Ila pumzi ndo zinatuadaisha kwa kujiona kuwa bado tunatamba na tutaishi muda mrefu..
Ujana unatuzuzua vya kutosha mno..
Sijui safar yangu mie itakuwaje
Kila nafsi ina waqt na sababu zake za kuondoka anabaki kuwa mmoja kati ya manahodha wenye mafanikio ya kuongoza timu zao katika kombe la dunia na kuweza kunyanyua kwapa.