Did he flee to Canada?

Possibily Kinana,he's lucky,king poacher,
 

Atakuwa ana kibali cha makazi ya kudumu wa Canada na passport ya Tanzania hivyo baada ya yale mazungumzo ya kwenye simu na ule waraka akaamua kubaki hukohuko Vancouver au Toronto.

Si wafahamu Tanzania hairuhusu uraia wa nchi mbili?

Hivyo akapima mizani na uraia wa Canada una uzito wake kama unavyosema---fedha kwenye akaunti benki.

Halafu kuhusu huu uraia pacha kuna kitu kiko huko jikoni kinawekwa viungo muhimu.
 
 
Hiyo ilikuwa zamani mkuu, sasa hivi wameacha, waliogopa kwa sababu kwa magaidi hizo pesa wanazo nyingi tu na walianza kutumia Kama fimbo ya kuwafanyia ugaidi, wakashtuka, sasa hivi hata uwe na $ mil 5 huwapiti uraia wa US wala Canada kirahisi tu, ni hadi ukae miaka mitano kamili bila kutoka nje ya nchi hizo hapo ndo wanakufikiria baada ya kukufanyia scrutiny na kujiridhisha kwamba huna crime record yoyote ile, kutoka nchini kwako hadi kwao kwa muda wote uliokaa huko.
Hizo $100,000 na $500,000 ni pesa ndogo mkuu, watu hizo pesa wanazo wengi wangezitumia kujazana huko, hizo ni nchi nzuri mno ki maisha.
 
It is true 100% of what you said, personally I brought this information in this forum more than a month ago, they deleted the thread as usual. This information was once confirmed by premature imbecile number one of this country.
Thank you so much for your update,
 
It has been said so... But none of us knows nothing.... What's going around is gossip n guess works
 
Muulize Kigogo
 
tehetehetehetehe
 
Nchi zilizoendelea watu hua hawajengi nyumba kama huku kwetu huko wanapangisha apartments au nyumba kwa jina lolote lile utakavyoliita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…