TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,807
Amen!Dikteta mtukufu.
Uchochezi gani, Hii lugha inavyotumiwa vibaya inatia kinyaa! Ukitaka kujua uchochezi ni nini Uchochezi ni kufuta ushindi wa Rais mteule wa Zanzibar, Uchochezi ni Kuzuia chama chochote kisifanye mikutano ya siasa ila wewe peke yako. Uchochezi ni Kumtuma Lipumba akavunje Ofisi za Cuf huku ukimlinda na Polisi, The hell huo ndio uchochezi, na mshenzi yeyote anayesema mimi ni mchochezi aje anikamate!Duh, haya bwana ila angalia usije ukawa mchochezi!
Watanzania tunampenda na kumuunga mkono Dr Magufuli kwa kazi Nzuri anayofanya kwa nchi yetu. Hongera sana rais
Huna jipa mchumia tumbo wewe umetumwa kuchonganisha umma.Naweka hapa Audio ya Kitabu ambacho kwa ambao mna maswali mengi na Tabia za baadhi au niseme waliowengi wa Viongozi wa Afrika, Na hasa Magufuli wa Tanzania Utapata mwangaza iwapo kweli hawa ni Madictator na Utapata pia kujua Madictato ni watu wa namna gani na wanalandana kwa Tabia zipi
Tatzo lako njaa inakusumbua sana wewe, umetumwa huko na wanyapara wako kuleta hiyo mada ya kiuchochezi. Ushindwe!Uchochezi gani, Hii lugha inavyotumiwa vibaya inatia kinyaa! Ukitaka kujua uchochezi ni nini Uchochezi ni kufuta ushindi wa Rais mteule wa Zanzibar, Uchochezi ni Kuzuia chama chochote kisifanye mikutano ya siasa ila wewe peke yako. Uchochezi ni Kumtuma Lipumba akavunje Ofisi za Cuf huku ukimlinda na Polisi, The hell huo ndio uchochezi, na mshenzi yeyote anayesema mimi ni mchochezi aje anikamate!
Sema 'mimi' sio watanzaniaWatanzania tunampenda na kumuunga mkono Dr Magufuli kwa kazi Nzuri anayofanya kwa nchi yetu. Hongera sana rais
Unavyotumwa umefika mahali ukaamini kila mtu ni mtumwa!Huna jipa mchumia tumbo wewe umetumwa kuchonganisha umma.