Dictator's Hand book!

TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,627
2,000
Naweka hapa Audio ya Kitabu ambacho kwa ambao mna maswali mengi na Tabia za baadhi au niseme waliowengi wa Viongozi wa Afrika, Na hasa Magufuli wa Tanzania Utapata mwangaza iwapo kweli hawa ni Madictator na Utapata pia kujua Madictato ni watu wa namna gani na wanalandana kwa Tabia zipi

TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,627
2,000
Duh, haya bwana ila angalia usije ukawa mchochezi!
Uchochezi gani, Hii lugha inavyotumiwa vibaya inatia kinyaa! Ukitaka kujua uchochezi ni nini Uchochezi ni kufuta ushindi wa Rais mteule wa Zanzibar, Uchochezi ni Kuzuia chama chochote kisifanye mikutano ya siasa ila wewe peke yako. Uchochezi ni Kumtuma Lipumba akavunje Ofisi za Cuf huku ukimlinda na Polisi, The hell huo ndio uchochezi, na mshenzi yeyote anayesema mimi ni mchochezi aje anikamate!
 
jimmyfoxxgongo

JF-Expert Member
Jan 23, 2013
5,363
2,000
Watanzania tunampenda na kumuunga mkono Dr Magufuli kwa kazi Nzuri anayofanya kwa nchi yetu. Hongera sana rais
-kwa kula rambi rambi sio

-kwa kuminya demokrasia watu wasifanye freedom of movement, kucontrol vyombo vya habari wafanye wanachokitaka sio.

-kwa kufuta ajira ambazo tayari watu washapewa mikataba.

Kama ndo kaz nzuri inayofanyika sawa mkuu.
 
pepsin

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
3,315
2,000
Hakuna dicteta mzuri.Udicteta ni ukosefu wa talanta ya uongozi,ni kama ugonjwa.
 
Jay Milionea

JF-Expert Member
Apr 19, 2015
1,178
1,225
Naweka hapa Audio ya Kitabu ambacho kwa ambao mna maswali mengi na Tabia za baadhi au niseme waliowengi wa Viongozi wa Afrika, Na hasa Magufuli wa Tanzania Utapata mwangaza iwapo kweli hawa ni Madictator na Utapata pia kujua Madictato ni watu wa namna gani na wanalandana kwa Tabia zipi

Huna jipa mchumia tumbo wewe umetumwa kuchonganisha umma.
 
Jay Milionea

JF-Expert Member
Apr 19, 2015
1,178
1,225
Uchochezi gani, Hii lugha inavyotumiwa vibaya inatia kinyaa! Ukitaka kujua uchochezi ni nini Uchochezi ni kufuta ushindi wa Rais mteule wa Zanzibar, Uchochezi ni Kuzuia chama chochote kisifanye mikutano ya siasa ila wewe peke yako. Uchochezi ni Kumtuma Lipumba akavunje Ofisi za Cuf huku ukimlinda na Polisi, The hell huo ndio uchochezi, na mshenzi yeyote anayesema mimi ni mchochezi aje anikamate!
Tatzo lako njaa inakusumbua sana wewe, umetumwa huko na wanyapara wako kuleta hiyo mada ya kiuchochezi. Ushindwe!
 
lup

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
2,297
2,000
N kirefu itabidi niweke siku nzima kwa ajiri ya kusikiliza tu..asante
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom