Wakenya Diaspora wako vizuri sana kwenye kupeana connection za nje japo hupeana connection kikabila lakini kila mkenya akiwa nje hana uchoyo wa kutoa connection kwa watu wa kabila yake tena husikia furaha tena wakiwa ndugu zake ndio kabisa ukoo mzima yuko tayari kuwapa connectionkaka komaa mwenyewe ukitegemea mtu muda utakuacha bure hakuna atayekupa msaada hapa.
Mkuu umesema kweli kabisa hapa bongo kila mtu apambane kivyake kunaka ubinafsi fulani au tunaogopana nadhani .Wakenya Diaspora wako vizuri sana kwenye kupeaba connection za nje japo hupeana connection kikabila lakini kila mkenya akiwa nje hana uchoyo wa kutoa connection kwa watu wa kabila yake tena husikia furaha tena wakiwa ndugu zake ndio kabisa ukoo mzima yuko tayari kuwapa connection
Kwa Kenya kabila linaloshika nafasi yakwanza kuwapa kabila yao connection ni wakisii
USA wamejaa hatari mbeleni huko wakisii watakuwa moja ya makabila makubwa Marekani
Watanzania diaspora kila kabila wachoyo kidogo wanaojitahidi wahaya lakini sio wa sasa ni wale wazee wa zamani walijitahidi mno
Ndiyo wabongo walivyo Mkuu hakuna kushangaa hapo.Nilikutana na mbongo nchi flani jamaa alivyoona naongea naye kiswahili akanikataa alikua mkali[emoji3][emoji3][emoji3] mtu wa Ngara huko...
Mpaka naondoka ile sehemu sijawahi kukutana na mbongo tena.....
Jamaa alikaza sana ingawa mimi nilikua excited kukutana na Mtanzania....Ndiyo wabongo walivyo Mkuu hakuna kushangaa hapo.
Pole sana brother kwa hali iliyokukuta wakati huo ndivyo tulivyo aise hatuna upendo wa kweli siyo kama wenzetu kutoka Nigeria,ghana,kenya nkJamaa alikaza sana ingawa mimi nilikua excited kukutana na Mtanzania....
Mkuu huwezi jua kwanini alikuwa hataki labda alikuwa kaolewa ukoNilikutana na mbongo nchi flani jamaa alivyoona naongea naye kiswahili akanikataa alikua mkali[emoji3][emoji3][emoji3] mtu wa Ngara huko...
Mpaka naondoka ile sehemu sijawahi kukutana na mbongo tena.....
Wakenya Diaspora wako vizuri sana kwenye kupeana connection za nje japo hupeana connection kikabila lakini kila mkenya akiwa nje hana uchoyo wa kutoa connection kwa watu wa kabila yake tena husikia furaha tena wakiwa ndugu zake ndio kabisa ukoo mzima yuko tayari kuwapa connection
Kwa Kenya kabila linaloshika nafasi yakwanza kuwapa kabila yao connection ni wakisii
USA wamejaa hatari mbeleni huko wakisii watakuwa moja ya makabila makubwa Marekani
Watanzania diaspora kila kabila wachoyo kidogo wanaojitahidi wahaya lakini sio wa sasa ni wale wazee wa zamani wa kihaya walijitahidi mno hawakuwa
Connection wanazotoa wakenya, wanigeria, waghana etc ni hizi hizi mnazosaidiwa hapa ila wabongo wavivu wa kufikiri na matendo pia, wanapenda kulia lia na kulalamika tu. Sasa mnataka wabongo wawalishe kwa vijiko mle na kumeza mtataka kusaidiwa na kunya sasa. Wakenya akili zao sio kama hizi za wabongo wao wako sharp kujiongeza. Kuna thread humu zaidi 100 kuhusu haya haya ya connection na diaspora, sasa kama zote hizo hazijakusaidia wewe hupaswi kwenda mamtoni kaa huko huko upambane na tozo... bila akili huku mamtoni hauishi pia utabaki kulalamika hukuhifadhiwa kwiiikwiikwiiiWakenya Diaspora wako vizuri sana kwenye kupeana connection za nje japo hupeana connection kikabila lakini kila mkenya akiwa nje hana uchoyo wa kutoa connection kwa watu wa kabila yake tena husikia furaha tena wakiwa ndugu zake ndio kabisa ukoo mzima yuko tayari kuwapa connection
Kwa Kenya kabila linaloshika nafasi yakwanza kuwapa kabila yao connection ni wakisii
USA wamejaa hatari mbeleni huko wakisii watakuwa moja ya makabila makubwa Marekani
Watanzania diaspora kila kabila wachoyo kidogo wanaojitahidi wahaya lakini sio wa sasa ni wale wazee wa zamani wa kihaya walijitahidi mno hawakuwa wachoyo
Uko sahlhiPole sana brother kwa hali iliyokukuta wakati huo ndivyo tulivyo aise hatuna upendo wa kweli siyo kama wenzetu kutoka Nigeria,ghana,kenya nk
🤣🤣🤣🤣🤣 ajabu asee, bora ukutane na foreigner aliyewai ishi Tz au kujifunza kiswahil atafurah ongea na wewe..Nilikutana na mbongo nchi flani jamaa alivyoona naongea naye kiswahili akanikataa alikua mkali[emoji3][emoji3][emoji3] mtu wa Ngara huko...
Mpaka naondoka ile sehemu sijawahi kukutana na mbongo tena.....
Acha kuongea upuuzi weweConnection wanazotoa wakenya, wanigeria, waghana etc ni hizi hizi mnazosaidiwa hapa ila wabongo wavivu wa kufikiri na matendo pia, wanapenda kulia lia na kulalamika tu. Sasa mnataka wabongo wawalishe kwa vijiko mle na kumeza mtataka kusaidiwa na kunya sasa. Wakenya akili zao sio kama hizi za wabongo wao wako sharp kujiongeza. Kuna thread humu zaidi 100 kuhusu haya haya ya connection na diaspora, sasa kama zote hizo hazijakusaidia wewe hupaswi kwenda mamtoni kaa huko huko upambane na tozo... bila akili huku mamtoni hauishi pia utabaki kulalamika hukuhifadhiwa kwiiikwiikwiii
Mpuuzi wewe na mamtoni hautaenda kamwe pimbi wewe.Nyie ndio enzi za Kikwete mlikua mnawaponda diaspora na kusema bongo New York, leo maji yako shingoni mnajidai connection, mnakumbuka shuka kumekucha . By the way, video hata EBM nae kesharusha nyingi na mikutano ya Green card kaifanya sana hapo bongo, kama hukuambulia kitu basi ujijue wewe ni wa kwa tozo tu hamna namna. Kingine kama Wakenya wamerusha video wewe ni nini huelewi toka kwa wakenya??? Au lugha ya malkia ni kikwazo??? Endeleeni kulalamika JF, connection zilizopo ndio hizo hakuna spoon feeding hapa. Nyanoko!Acha kuongea upuuzi wewe
Nenda YouTube wakenya Diaspora wamejaza hadi video kibao.za namna ya kupata fursa nje na namna ya kwenda walivyo na roho.nzuri
Scholarship tu angalia w website ya wizara yetu ya elimu Tanzania na ulinganishe website ya wizara ya elimu.ya Kenya
Website ya Kenya imejaa matangazo ya scholaship lukuki mkenya ashindwe mwenyewe zimejaa nyingi mno
Tanzania zinafichwa
Wizara ya elimu inabania sisi wachoyo passport wachoyo kutoa na scholarship serikali kuweka wazi zote wachoyo
Wizara ya elimu kenya sio wachoyo zote wanaanika kwenye website yao
Sasa wewe kusema watanzania wavivu kivipi? Wakati serikali inaficha hsiweki wazi .Wakitoa ni scholarship chache tu kwa ku beep
Green card sio connection ujinga mtupu ilr ni bahati nasibuMpuuzi wewe na mamtoni hautaenda kamwe pimbi wewe.Nyie ndio enzi za Kikwete mlikua mnawaponda diaspora na kusema bongo New York, leo maji yako shingoni mnajidai connection, mnakumbuka shuka kumekucha . By the way, video hata EBM nae kesharusha nyingi na mikutano ya Green card kaifanya sana hapo bongo, kama hukuambulia kitu basi ujijue wewe ni wa kwa tozo tu hamna namna. Kingine kama Wakenya wamerusha video wewe ni nini huelewi toka kwa wakenya??? Au lugha ya malkia ni kikwazo??? Endeleeni kulalamika JF, connection zilizopo ndio hizo hakuna spoon feeding hapa. Nyanoko!
Si kwamba sielewiKingine kama Wakenya wamerusha video wewe ni nini huelewi toka kwa wakenya??? Au lugha ya malkia ni kikwazo??? Endeleeni kulalamika JF, connection zilizopo ndio hizo hakuna spoon feeding hapa. Nyanoko!
Kama ulikua hujui basi green card ndio njia rahisi na cheap kuliko zote, zaidi ya hio hivi wewe una 35+m ya kibongo ya kuweza kukufikisha huku US ukaanza new life?? Kama huna tulia na ukojoe ulale.Green card sio connection ujinga mtupu ilr ni bahati nasibu
Wakenya connection wanapeana ni kuambiana hapa kuna kazi moja mbili tatu kuipata fanya moja mbili tatu au kuna chio kinatoa scholarship huku.ugenini au kusoma bure fanya moja mbili tatu
Green lottery unaita connection shame on you
Mimi kinacho nifurahisha ni kuona kua zile thd za kuponda wabeba box hapa JF hazipo tena,badala yake hata wale wapondaji nao wanataka connection,
Nakomaa na box,nitarudi kusoma povu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Naijua vizuri sana kupata Green si rahisi sababu ni bahati nasibu na ukipata bado unahitaji connection kuwa hata uwe na pesa za tiketi bado utahitaji host wa kuku host na kukupa connection za ukifika USA kazi utapata wapi ,Social Security namba nknkKama ulikua hujui basi green card ndio njia rahisi na cheap kuliko zote, zaidi ya hio hivi wewe una 35+m ya kibongo ya kuweza kukufikisha huku US ukaanza new life?? Kama huna tulia na ukojoe ulale.
Mimi kinacho nifurahisha ni kuona kua zile thd za kuponda wabeba box hapa JF hazipo tena,badala yake hata wale wapondaji nao wanataka connection,
Nakomaa na box,nitarudi kusoma povu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]