Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 38,565
- 89,475
Utakuwa na Dosari bwana Robert. Kataa chuki nafsini mwako.
Binafsi nachukia Mashoga na mabasha duniani!... hawa ni mashetani na majini mabaya yanayoonekana kwa macho.
Nachukia wezi na Vibaka kwa sababu hawataki kujishughulisha na kujiongeza, wanataka vya rahisi.
Tanguliza upendo kwa kila mtu maishani, popote uendapo Duniani ipe chuki asilimia chache sana nafsini mwako. Unaepukana na mengi. Chuki ni maradhi ya moyo.
Huwezi kumchukia mtu suddenly kwa maamuzi tu huo ni uzwazwa na shida ya akili.
Mkuu huu uzi unahusu mambo ya connection za kwenda nje.
Pili hakuna kitu kinakuja automatically kama unavyosema japo unajichanganya mara mazingira mara automatically.
I assume hujui unachoongea kama umeshindwa kutofautisha mazingira na automatically.Mazingira ni sehemu ya Naturally, au automatically.
Sasa MTU atakupa connection bila kukupenda?
WE KUMBE HUNA AKILI!Upendo ni hiyari, na huwezi mpenda MTU suddenly Kwa maamuzi. Upendo unakuja natural, automatically kutegemeana na mazingira.
Hata Mungu ndivyo anavyofanya kazi. Wapo anaowapenda na wapo anaowachukia.
Hata utende Mema vipi kama Mungu hakupendi hakupendi tuu
WE KUMBE HUNA AKILI!
Nimegundua nilikuwa namuelewesha mtu MPUMBAVU!
SIKU NJEMA WE MPUMBAVU!
Kuna anko wangu kanunua jumba Dar si chini ya milion 150 wiki mbili zimepita na Yuko huko huko state.Mwanangu kafeli mwezi sasa kunitumia fungu anadai kuna idara wanamkwamisha bila sababu za msingi.
😂😂😂
Hayo ndio mawazo ya Maskini na fukara.
Sasa Kwa Akili hizi hata huyo anayewapa Watu Mafanikio atakupa kweli Mafanikio?
Msaada sio Haki yako, sio lazima.
Haki ni wewe mwenyewe kujisaidia.
Mwenye jukumu la kukusaidia ni Baba na Mama yako, full stop.
Sisi wengine ni hiyari yetu. Kama wewe ulivyo na hiyari ya kusaidia wengine.
Ni ishu ya moyo na upendo tuu.
Alafu MTU anaweza asikusaidie wewe lakini akawa anasaidia wengine, yaani asikupende wewe lakini akawa anawapenda wengine.
Hivyo hizo hasira zako ni hasira za mkizi
You are mostly welcome Mkuu, Mungu akubariki sana aisee.Kaka, I'm humbled. Nashukuru [emoji120][emoji120][emoji120]
Au wanangoja uraia pacha ipate kibali ndio watakuwa free na watawekeza Tanzania pia.
By the way kwann serikali haiharakishi kuruhusu uraia pacha? Ingesaidiwa kupunguza dhiki kwa wananchi maana Disspora wengi wanataka kuwekeza hapa nchini.
Ni wakati muafaka wa hilo.
Brother pamoja na kukaa nje naoa bado una kaushamba fulani wapi nimekwamia unitafutie chuo au kazi ebu jiheshimu toka mwanzo nimekwambia niko hapa kuchangia mada siyo kuomba msaada kwa yeyote kuwa muelewa kwa shule ulienda kusomea ujinga Ndugu.
Well said! Na ni kweli hawapendani hao mbwa 😂
Watu wengine marekani hawataki urafiki wala kujuana na wabongo.. ile uswahili wao wa huku wanaupelekega mpaka kule 😂😂
Hawezi kukusaidia. Atakubabaisha tu, atakusaundisha... blah! blah! Nyingi, mwisho wa siku ataku-block ili usiende ukala mema ya nchi kama yeye. Miafrika sisi ni mijinga sana! 😂😂😂🙌🏾
Watanzania lazima tujifunze kuambiana ukweli, kuukubali ukweli hata kama ni mchungu vipi, na kuufanyia kazi ukweli kupata matokeo mazuri.
Sad fact: Nchi za watu hazimtaki kila mtu kutoka huku swekeni kwetu you know! Kwasababu hazimtaki kila mtu lazima ujipangie mpango wa muda mrefu wa kukubaliwa. Kama mpango ni shule/kazi/matembezi lazima ujitahidi kuwa eligible, kama hauko eligible leo jiandae hata kwa miaka mitatu mbele uweze kutimiza vigezo na masharti, baada ya kuvitimiza unaweza kuomba viza mwenyewe kabisa bila hata kuasaidiwa na mtu.
Mnawapraise wakenya na wanaijeria bila kujua kuwa wao kama jamii huwa wanapanga mipango ya muda mrefu kuhamia nchi zilizoendelea, mathalani wanaambizana course za kusoma, experience za kutafuta hata kupata ufaulu mzuri ili kuqualify kwenye scholarships na pia kujiandaa financially.
Sisi sasa hahaha! Ufaulu kizungumkuti, course tulizosoma majanga, vibubu havina mia, experience ya kazi vichekesho, nani atakutaka nchini kwake?
Tushaacha walaumu boss maana tumejua wengi uko mmepelekwa na baba zenu, dada zenu Kaka zenu Yani mmejikuta tu mpo ughaibuni pasipo kujua ndugu zenu wamepambanaje passport umeletewa home, Visa umeletewa home, nauli umepewa uwanja wa ndege umepelekwa uko ughaibuni ukapokelewa Sasa mtatupa connection gani mnajua nini so tumeacha walamu
Kiongozi nna swali ukishinda dv ok una passport tayari gharama ni kiasi gani as nauliza IDs etc ni kama dollar ngapi? Msaada.
Msaada unatoka Kwa Mungu,
Mungu ndio mwenye wajibu wa kusaidia Watu wake iwe Kwa kupenda au asipende. Kwani ndio majukumu yake.
Ila Kwa Sisi wanadamu tunasaidia Kwa hiyari, mapenzi na upendo.
Kamaa MTU hapendi kusaidia MTU au mtoto yatima hiyo sio dhambi au KOSA.
Kwani hakuna amri ya kumlazimisha hiyari ya watu
Asante sana mkuu! kama utaipin then I'm honored. tuendelee kuelekezana na si kudanganyana, kupeana false hope na kubaby-sitiana 😅Asante sana mkuu. Nai-pin hii comment kwenye uzi 1st page. Mbongo anataka umpe connection leo kesho asepe hata kama hana vigezo.
Wanigeria, wakenya ukiwaambia fanya hivi ili utoboe anafanya. Hiyo ndo connection yenyewe. Ukiambiwa pita hivi jiongeze fanya then rudi tuendelee kujadiliana. Mbongo anataka wewe ndo umfanyie yeye aje tu hata kama hameet the criteria. Smh