Diaspora hawapendani


Tuanze na hiyo shahada ya kwanza.

Kaichukulia Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam, kampasi ya Mlimani?

Alidahiliwa lini na alimaliza lini? Na alisomea nini hapo Mlimani?

Manake isije ikawa alikuwa anasoma kwenye hivyo vyuo vinavyotoa shahada kama njugu na kutumia madarasa ya Mlimani kufundishia halafu wanafunzi wake kitaa wanazuga kama kuwa ni wanafunzi wa UDSM.
 

CC:LINDA kwa msaada zaidi, ila hasemi kasoma kozi gani bali yy anajisifia usomi tu.
 
CC:LINDA kwa msaada zaidi, ila hasemi kasoma kozi gani bali yy anajisifia usomi tu.

Mimi nahisi hajasoma UDSM.

Na natoa changamoto kwa yeyote yule kunithibitisha makosa.

Na kama yupo humu aweke hapa cheti alichotunukiwa na UDSM.

Si anajifanya ni mtu wa kuweka ushahidi.

Aweke basi na shahada yake aliyotunukiwa na UDSM kama kweli alisoma UDSM.

*Sidhani kabisa kama alikuwa na vigezo vya kuchaguliwa kujiunga UDSM huyo.*
 

Anasema UDSM alisoma lakini hakufanikiwa kuhitimu.. Alidisco akiwa mwaka wa pili. Sijui alikuwa anachukua kozi gani.
 
Mwanzoni mwa miaka ya 2000. ( Around 2001-2003).

Siamini mpaka nitakapoona ushahidi unaothibitishika kuwa kweli alikuwa ni mwanafunzi wa UDSM na si chuo kingine kilichokuwa kinatumia tu majengo ya UDSM.
 
Linda na mange mkue jamanii nyie wote watu wazima mshatuchosha na matusi yenu kama watoto,😎
 
Mbna ni kichaa kitambo 2 mana angekua n maisha mazuri wa2 wasingepumua kanaisha maisha y hovyo na kujificha wa2 hawajui kwake...halafu angekua n hela asingefungua duka darfreemarket frem z laki 3 kma machinga complex y ilaka pumbavuuu zke

Alifungua
Dada wa kazi akakimbia
Now watu wanataka refund zao
 

Hahahaha mkuu huyu binti naona ameamuwa kuwadhalilisha mnaoishi ATL.. As far as I know most of rich people (not wealth) are living in ATL.. Hata baadhi ya movies na series zilizofanya ATL zinaonesha ni jinsi gani mitaa y huko inavyopendeza macho
 
Hahahaha mkuu huyu binti naona ameamuwa kuwadhalilisha mnaoishi ATL.. As far as I know most of rich people (not wealth) are living in ATL.. Hata baadhi ya movies na series zilizofanya ATL zinaonesha ni jinsi gani mitaa y huko inavyopendeza macho

Una uhakika hakuna wealthy people ATL?

Unajua kuna Forbes billionaires wangapi ATL?

Wealth kwako ni kuanzia dola kiasi gani?

Soma hii profile kutoka Forbes:
Source

GDP ya Atlanta ni kubwa kuliko ya Miami. Ni kubwa kuliko ya Czech Republic, Ireland, na Algeria.

Hapo tunazungumzia mji tu na si jimbo zima la Georgia.

Soma na hii:


That is nothing to sneeze at.
 
Kwani sikukuta kwani..?
Zelsb....
Simchukii ila anakosea na hamna wa kumwambia kwenye blog yake
Hapa sasa we dare to talk openly bila uoga
Nyie mnamsifu tuuuu....
Nadhani angefungua kanisa angepata maamuma wengi sanaaaa!

Kwenye blog yake tangu aachage kupitisha facts zinazomwagwa na kufungia watu wasiingie ndio nilijuaga kuna kajitu hakako ok, anajifanya anajua ila akiona wasemao facts za kumvuruga bichwa anawatema ili aonekane yupo juu kwa wale wanaomshadadia.

Na wengi wanaingia kusoma, hata likes zake kwa topic nzuri familia walianzaga kumchunia...inaumaje hapo basi

Mwimbo wa mdogo mdogo wa D unamuhusu sana....
 

As I said most of rich people are living there.. Sijasema billionaires hawapo pia

And I mostly appreciate ATL kwenye upande wa Real Estate ndio maana nikawa namshangaa huyu binti anavyoidharau ATL kiasi cha kuifananisha na Shinyanga
 
Mtu yupo majuu kutwa kuchwa analia na mafanikio ya wenzie East Africa.
Anasema hamna mtz anayesomesha mtt chini ya miaka mitano ila yeye USA nzima.
Mie nadhan zile sembe alizokua anauza mzee wake na huyu alikia anarambishwa sio bure

Jiulize kitu kimoja huyu mange anavyopenda kujionyesha akila burger tu atapost leo hii awe na nyumba ya $1m aache kuionyesha? hata kama iko kwenye matengenezo asiionyeshe huyu mwanamke si mzima nawaambia. Hana cha nyumba wala ushuzi anapanga kiapartment cha uswahilini na ndio maana hawezi onyesha picha za anapoishi.. Mtasubiri hiyo nyumba mpaka mwisho wa dunia bytheway nyumba ya $1m LA ni nyumba chovu sana kwa watu tunaoishi marekani na kuwa LA mara kwa mara tunajua nyumba nzuri LA unapata kuanzia $5m na hiyo ya kawaida maskini anaita wenzake maskini wakati yeye hapa ndio anaonekana maskini mpuuzi sana huyu mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…