Diaspora hawapendani

Haaaaa, yule mwanamke ni tatizo, kachonga pua, karekebisha matiti eti yasimame milele, matako nayo kapandikiza, bila shaka hata hiyo sehemu ya kike kesha ichana chana ilingane na ya bhoke haaa mwanamke hajiamini ndio maana chuki haimuishi.

Cku zote mtu ambae hana kitu hupenda kujikwaza...haka kabibi ni kakichaa hakana maisha mazuri huko so kakiona wenzie wamefanikiwa ndio alosto huzidi.sura mbaya sijui kakivua nguo gheto kanafanana n zombie
 
Yani huyu mwanamke ni mental case kabisa.
Kwanza kabaya,
Pili kana chuki na miwivu
Tatu ana uahamba fulan usioisha chaaa!
Ni wa kihurumia.

Mbna ni kichaa kitambo 2 mana angekua n maisha mazuri wa2 wasingepumua kanaisha maisha y hovyo na kujificha wa2 hawajui kwake...halafu angekua n hela asingefungua duka darfreemarket frem z laki 3 kma machinga complex y ilaka pumbavuuu zke
 
Mbna ni kichaa kitambo 2 mana angekua n maisha mazuri wa2 wasingepumua kanaisha maisha y hovyo na kujificha wa2 hawajui kwake...halafu angekua n hela asingefungua duka darfreemarket frem z laki 3 kma machinga complex y ilaka pumbavuuu zke

uhhhhhaaaaaahhhaaaaahhhhaaaaaa
 
Unachekesha kweli wewe nani kakuambia mi nina stress, wala sikijui hicho kitu na kwangu hakuna labdaa uniambie kinapatikana wapi nikanunue tena kisiwe bei ya kizungu maana nitashindwa kuwa nacho. Eti tunatukana ktk hizi post umeona tusi wapi? watu tunamrekebisha yeye aache chuki na dharau kwa watu asiowajua na anao wajua hilo tu.
 
yes of course lazima nionekane joker I am not surprised at all sababu ndo mlivyoo. Mnafurahia kuanguka kwa wengine. Mnafurahia wengine wanapodhalilishwa. Sasa hao wadada wa mjini ulikuwa unawasema kwamba hupendi mashauzi yao wamekosa nini? :becky:. Unamchukia tu mtu sababu kapost intagram kuhusu restaurant aliyoenda. Mnaanza kumuita mshamba sijui nini. Unamchukia mtu sababu ya gari anayomiliki kaamua kuipost facebook. Mnaenda kwenye page za instagramm na kutukana mitusi ya nguoni kwa watu hata hamuwajui zaidi ya kuwasikia. Hii yote ni ya nini kupoteza nguvu zako na energy kwa vitu ambavyo havikupi faida yeyote? Mpaka sasa naamini kwamba mitandao ya kijamii imekuja mapema wakati elimu ya wabongo ikiwa bado chini. Vilaza wameingia kwenye mitandao. wanashindwa kutumia mitandao kwa fiada zao binafsi. Wanatumia ku express opinion zao za kipuuuzi. inakuwaje unajaribu kumshauri mtu aliyekuzidi?
 
Cku zote mtu ambae hana kitu hupenda kujikwaza...haka kabibi ni kakichaa hakana maisha mazuri huko so kakiona wenzie wamefanikiwa ndio alosto huzidi.sura mbaya sijui kakivua nguo gheto kanafanana n zombie

Haa eti anatukana waliozaa nje ya ndoa wakati yeye ni uzao huo na yeye pia kazaa nje ya ndoa, mwanamke anaishi ndotoni yule.
 
yes of course lazima nionekane joker I am not surprised at all sababu ndo mlivyoo. Mnafurahia kuanguka kwa wengine. Mnafurahia wengine wanapodhalilishwa. Sasa hao wadada wa mjini ulikuwa unawasema kwamba hupendi mashauzi yao wamekosa nini? :becky:

Uwe unasoma unaelewa sikusema sipendi mashauzi yao, bali walikuwa wanajifanya mashoga kumbe kuna ambao hawapendezwi na wenzao wakitaka wao wawe juu ndio huyo Mange, kisa cha kusema nyumba ya kisa ni kama stoo ni nini kama si ushoga wa kijinga, mbona alipokuwa anakwenda kula na kunywa hapo hakumrekebishia ikae anavyoona yeye inafaa? Mange ana chuki mbaya kubali kataa na hiyo elimu yake kasomea matusi na wivu.
 
Hhhaaaaaaaa nilicheka alisema unajua zamani nilikuaga siandiki sana magazeti maana nilikua na marafiki karibu naogopa,sasa niko mwenyewe naandika niwezavyo naweza leta mtu yeyote namchamba hivi umeona kina riz walivyoandikwaa hhhhhaàaaaa

Kina riz na january amewachambaa balaa maskini na kujidai eti kaka zake, eti kacheza sana na riz, kanifurahisha kamwambia January anavaa kimarekani lakini kichwani mshwahili tu, khaaa mange jamani.
 

Haaahaa, umenichekesha kweli eti mtu anapesa tajiri anaenda kun unua vitu vya promosheni vinauzwa na machinga wa ulaya barabarani, nilicheka na kile kigugumizi chake donnnn't b uuuuyy , I have gggren card, msomi huyo loh kweli kaidhalilisha elimu
 
Haaahaa, umenichekesha kweli eti mtu anapesa tajiri anaenda kun unua vitu vya promosheni vinauzwa na machinga wa ulaya barabarani, nilicheka na kile kigugumizi chake donnnn't b uuuuyy , I have gggren card, msomi huyo loh kweli kaidhalilisha elimu

I mean, seriously, who gives a shit about her green card?

Kishamba kweli hicho kimwanamke.

Mtu anayejipambanua kama mtoto wa kishua wala hafanani kabisa na huo ushua.

On a scale of 1 to 10 her sense of decorum is 0.5.
 
I mean, seriously, who gives a shit about her green card?

Kishamba kweli hicho kimwanamke.

Mtu anayejipambanua kama mtoto wa kishua wala hafanani kabisa na huo ushua.

On a scale of 1 to 10 her sense of decorum is 0.5.

ushua kaujua ukubwani ndio shida, kuna watu wamekulia masaki oyster bay huko tangu watoto na wala hawaoni kama wanatofauti na watu wa manzese, yeye mpaka wema anamuita wa ushuani wakati kakulia sinza eti wema si type ya kajala kwa kigezo cha shule alosoma wema, mi naona hata hiyo 0.5 umempendelea, au labda ni point ya kuhudhuria chuo lakini si kuelimika.
 
Haa eti anatukana waliozaa nje ya ndoa wakati yeye ni uzao huo na yeye pia kazaa nje ya ndoa, mwanamke anaishi ndotoni yule.

Huyo dada pimbi 2 maisha yke hovyo kiduka chake kiko machinga y darfreemarket akiona wenzie wanaishi vizuri ndio alosto inamshika mbaya
 
Duh!picha ninayoiona ina maana hata yeye yupo hapo kimakosa maana ni eneo la watu weupe?namkumbuka Nesta marley na kibao cha War ahsante NYANI NGABU.

ha ha ha haaaaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂 👏👏👏👏👏👏👏 "hata yeye yupo hapo kimakosa" ha ha haaaa hii imenivunja mbavu kisses 😘😘😘😘😘😘
 

Sasa huyo Wema kasoma shule gani ya kumshtua mtu?

Umeshaona hata anavyoandika?

Eniwei, kumuongelea Wema kuhusu elimu yake ni kumuonea maana sijawahi kuona popote pale akijigamba kuhusu usomi.

Tubaki na huyu juha. Soma tu anayoyaandika. Angalia misamiati yake, angalia uchaguzi wake wa maneno, matumizi yake ya vivumishi, vielezi, vitenzi, na kadhalika.

Angalia makosa yake ya kitahajia. Na hapo wala sijagusia kabisa ukosefu wa mantiki katika hizo 'hoja' zake.

Hivi kweli, kwa kumsoma tu kupitia maandiko yake, unaweza kupata picha kuwa naye ni msomi?

Kwamba anaweza kukaa meza moja na wasomi?

Sasa labda mimi natumia vigezo ambavyo sivyo kwa mtu ambaye siye.

Mbele ya akina Linda na Mbuta Nanga anaweza akawa msomi kweli.

Lakini tukimpitisha kwenye tanuru la wasomi hawezi kabisa kusalimika.

Na hivi hizo shahada zake kazichukulia kwenye vyuo gani?
 
HELLO EVERYONE: kwakuwa hii mada inaniusu Mimi naombeni mkasome majibu yangu kwenye Instagram yangu hii hapa @linda_mrsmali but Kama upo under 18yrs old usije. Nimemtukana sana matusi yalio mfanya afute upuuzi wake sana sana kaji ongezea vidonda wakati makovu Yake ya miaka ya nyuma bado hayajapona zaidi so please mtakuta picture ya MBWA nayo mui click . Kuna pictures 5 zinazo muhusu yeye Naningependa kuwa shukuru wale wote waliokuja kwenye IG ya @linda_mrsmali kumpa THE TASTE OF HER OWN MEDICINE. Na nyie wa hapa mmempa Elimu Nzuri sana BRAVOOOOO. Mme mwelimisha kifasaha , For her own goodsake.
 
Hahahaaaa, wema msomi anaongea kizungu hiyo ndio elimu kwa mange, shahada ya kwanza kachukua mlimani ya pili dubai akiwa tayari muke ya muzungu, nimesahau kasoma sekondari zimbabwe wakati ikwa zimbabwe kweli kabla mugabe hajaiharibu haaaaaahaa kwa mujibu wa mange, du ni shiiiider.
 

Hayaaa wenye insta mkayalete huku tuendelee kumuelimisha huyu msomi, na asipokubali kuelimika mwaka huu ndio baasi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…