anatamani ampake rangi awe mweupe
ila inatia hasira ujue we uko ulaya mmeo ana hela bado unauza nguo na shedo bongo...
kwa nini usifungue duka huko huko mamtoni etiii
halafu dalili ya upathetic,inferior na ujuha ni kutojikubali na kujinasibisha na wengine kujifanya ww km wale
Haaa jirani umeona na wewe eeh?
Huo ni zaidi ya ushamba!
Marekani ya karne ya 21 mtu bado analeta mambo kujidai kuhusu mtaa ambao eti hauna weusi.
Kwanza kajuaje hauna weusi? Kuna vibao vimebandikwa visemavyo 'For Whites Only'? Sidhani.
Yaani kwake uzungu sijui ndo nini tu. Nadhani yeye kuolewa na mzungu ni kama vile ni genetic step up.
Mara eti shule asomaye mwanaye hakuna ngozi nyeusi...I mean, so what's the big deal?
Halafu anaponda sehemu ambazo hata hazijui vizuri.
Na kununua kijumba cha bei kubwa kwenye viunga vya L.A. wala si ujanja kama unaweza kununua jumba kubwa zaidi lenye square footage ya kutosha na yard space ya kumwaga kwa bei hiyo hiyo kwenye jimbo au mji mwingine.
Huko L.A. sana sana unacholipia ni jina tu na si ubora wa kile unachokinunua.
Hao akina Warren Buffet bado wanaishi kwenye nyumba zao huko Omaha, Nebraska huku ndo matajiri wakubwa duniani.
Sijawahi kuona mtu mshamba kama huyo dada. Eti hakuna ngozi nyeusi.....hahahahahahaaaa.
Swala la rangi ya ngozi limebaki kuwa ni ishu kwa wajinga na wapumbavu wachache sana na yeye akiwa mmojawapo maana hata White House mkazi wake ni ngozi nyeusi. Justice Department nayo inaongozwa na ngozi nyeusi. State Department nayo ishaongozwa na ngozi nyeusi.
Rangi ya ngozi siyo dili. Ni ujuha tu kung'ang'ania dhana zilizokwishapitwa na wakati.
Aah we binam nimekushindwa
Sasa wewe watu wakikosana ndo burdaaan!
Hapana Mange kazidi sana.Anajiona kama mngu mutu.
C's mom kaona hawezi uhayawani ule jamani.
Kwa kweli napenda umbeya ila ulr wa Mange una pili pili na umekojolewa na chuki binafsi.
Mimi huwa naumia sana.
Wala sichekeshwi, siku atawekwa mtu wako wa karibu utaumia.
Atatukanwa, atafedheheshwa na wenye chuki naye watakuja kuua kwenye comment.
I say NO kwa Mange kaah.
Biashara zenyewe anaziweza? Alikuja na biashara ya kusafiri na nguo toka marekani na kuziuzia vibarazani akashindwa kaja na on line business kashindwa anadaiwa refund huko kabaki kujiongelsha ohh yule msichana aliekuwepo ofisini kaondoka nimebadili ndio maana nashindwa kurudisha hela why urudishe hela kama mfanyabiashara kweli atumie mizigo ya watu hakujua kuwa biahara zin challenge akajiona mwanamke wa shoka kuliko waliotangulia huko majuu.Alafu mwenzake akifanya biashara kama yake anakasirika kabisa na kutukana kama vile hajui hili soko huria.
Mafiii.
Hhhhhhaàaaaaaa sasa jamaniii wale wanajuana maana mange akikaa kimya Linda huyooo halaf linda hau hanyamazii jamaniii mi washanichoshaaa ,ila muda mwingine linda nae mchokozii
Ni kweli hua nakosea mange kuwaunganisha watu wengine au kuchokonoa wenginee sasa nae wa hivyo atabadilika akizeeka labdaa
C mom simuon hhhhhaaa alichmbwa hana hamu
Haaaaa kichambo cha mange mwisho nadhani C'mom na zile nywele za zawadi katupilia mbali, uwaziri wa mange mwisho, maskini c'mom alipoenda kuchukua nywele kaenda na wanae katuta mange hayupo wakabaki kufarijiana kwenye msg, eti nilikuletea wanao uwaone loooh! nae mange eti maskiiini basi wakati mwingine mwaya. Kilichojiri naona anashukuru Mungu mange hakuwaona wanae maana wangechambwa wooote maana mange akipagawa habakizi mtu. Loh kupenda vya bore noma sana.
Umenifurahisha eti NJITI, na anavyopenda shari anasubiri zari amjibu apate pa kuandikia gazeti mwenzie kafundwa kimyaaa.
Hhhhhhaàaaaaaa sasa jamaniii wale wanajuana maana mange akikaa kimya Linda huyooo halaf linda hau hanyamazii jamaniii mi washanichoshaaa ,ila muda mwingine linda nae mchokozii
Ni kweli hua nakosea mange kuwaunganisha watu wengine au kuchokonoa wenginee sasa nae wa hivyo atabadilika akizeeka labdaa
C mom simuon hhhhhaaa alichmbwa hana hamu
Binam Mange hajawah kumkalia kimya linda.Kuthibitisha hili kawome posts za mange usiwe mvivu.
Linda hajamchokoza Mange this time.
Yupo kwenye page ya linda anaitetea nyumba ya Mange.
Hhhhhaàa nilisomaga hicho kipindi nikasema huyuuuuuu anachokitafutaa si wanae ni mapacha hhhaaa yaan nikikumbuka mie hoii jamaniii,uwiiiiiiiii akomeee we kina mwamvita wamemkimbia seuse ye mchangiaji koment nikikumbukaa aisee il aC mom alitoa mchambo wa haja kuhusu wema alinifurahisha balaaaaàaa,dada mtu sasaa yaan c mom unanitukania mdogo wangu hapo ndio hua ananichoshaa maana sidhani hata hao dada zake wema waliopo Us kama wanatembeleana na mange watakua wnamuogopa balaaa
Wenyewe dada zake wema hawampendi mange ndio maana hujaona mange akirusha hata kapicha kamoja akiwa nao, wanajua mange ni mshauri mbaya wa wema, mtu ana mchamba kajala katembea na clement kisa alikuwa wa wema bila kumchamba wema kutembea na Clement wakati ni mume wa mtu? Anae mpenda mange lazima awe hajawa karibu yake hata hao kina Killy wakiwa na mange wanakaa kama wako karibu na simba waogaa pichani tu unasoma mawazo yao.
zels whera are uuii
Nondo aliyoshusha Nyani Ngabu imempotezea uwezo wa kumsifia shaga ake kajijona kumbe nae wale wale.
Mi nakuambia ambavyo simpendi mange nishawajua wote ni wachokozi siku ukijua utaniambiaaa wallah nakuapiaaa
Nakwambia ukitaka kujua nani mchokoz jiulize Mange kagombana na wangapi na Linda kagombana na wangapi.
Nondo aliyoshusha Nyani Ngabu imempotezea uwezo wa kumsifia shoga ake kajiona kumbe nae wale wale.