Diaspora Germany, Maisha yakoje

Diaspora Germany, Maisha yakoje

Nimeishi Germany mwaka mmoja, boxi zipo kama kawaida ya nchi zote za ulaya na malipo nadhani si tofauti sana na USA ila tatizo la Germany ni wabaguzi wa rangi kuna mji nilienda unaitwa Marburg niliingia kanisani watu karibia nusu walitoka

Mhhhhh kweli vijiweni bongo hatari, mnaporomosha tuu mastory ya vijiweni.hongera yako
 
Nimeishi Germany mwaka mmoja, boxi zipo kama kawaida ya nchi zote za ulaya na malipo nadhani si tofauti sana na USA ila tatizo la Germany ni wabaguzi wa rangi kuna mji nilienda unaitwa Marburg niliingia kanisani watu karibia nusu walitoka

kwa hayo maisha Nitafia barani mwangu AFRICA tu.
 
Nimeishi Germany mwaka mmoja, boxi zipo kama kawaida ya nchi zote za ulaya na malipo nadhani si tofauti sana na USA ila tatizo la Germany ni wabaguzi wa rangi kuna mji nilienda unaitwa Marburg niliingia kanisani watu karibia nusu walitoka
Diii
 
Ukisimuliwa habari za kijiweni ziache huko huko na usijeb kudanganya hapa! Ni uongo kusema uliingia kanisani halafu eti ''watu karibia nusu'' wakatoka. Ungetaka usishtukiwe uongo wako ungesema ''walikukataza kuingia kanisani''. Bado siamini kuwa utawafuata ma racists kwenye kilinge chao halfu wao wakukimbie. Iwe Bar, iwe kanisani watakukataza kuingia lkn hawatakukimbia.
 
Siwezi kudanganya nimekaa Germany na nawajua. Nimekaa Giessen, Gottingen na Marburg nawajua sana hao jamaa
 
Nimeishi Germany mwaka mmoja, boxi zipo kama kawaida ya nchi zote za ulaya na malipo nadhani si tofauti sana na USA ila tatizo la Germany ni wabaguzi wa rangi kuna mji nilienda unaitwa Marburg niliingia kanisani watu karibia nusu walitoka
Daah pole mkuu, so sad indeed, then ilikuwaje ?
 
Back
Top Bottom