Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 23,961
- 42,168
Amani kwenu watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Hili ni jukwa la diaspora wa Africa mashariki
Kupeana uzoefu na kupeana njia za kuruka majuu
Kupeana utaratibu namna ya kuishi inchi za watu, namna ya kufika nchi za watu
Kupeana michongo katika inchi hizo na kushikana mikono
Nchi zote tutakwenda , nchi zote tutafika, tupeane soko la ajira uarabuni, Amerika , ulaya na Africa ya kusini
Karibun KENYA, TANZANIA, UGANDA, RWANDA, SOUTH SUDAN, BURUNDI, CONGO hizi ndo ichi za est Africa
LONDON BOY
From st James street