Diapers nzuri kwa watoto ni zipi?

Diapers nzuri kwa watoto ni zipi?

Molfix zipo, yeah huggies ni ghali kidogo ila nzuri zaidi

Nakumbuka Molfix tumezitumia kwa mwanangu wa kwanza, ila huyu mpya nikakuta kuna ingizo la Sleepy, nimeona ni nzuri sana. Kuna Pampers pia ziko vizuri na bei ni moderate ukilinganisha na Huggies (hizi nadhani zinaongoza kwa bei na ubora).
 
Yeah sleepy pia nzuri
 
Niiteni mshamba lakini kwa Tanzania hii mimi ni kwa mwendo wa nappy zile za taulo za kufua na kuanika. Jua hili la bure, maji na sabuni ya nini kuingia gharama? Hizo diaper labda nikiwa safarini tu.
Mkuu wewe tatizo lako ni hizo gharama ama hizo diaper zina madhara?
 
hebu tuache kutishana hapa kila kitu kina madhara kama mtu hayuko makini hivyo hata hizo nepi mama asipokuwa makini mtoto anaweza kudhulika
muhimu ni kubadili diper au nepi kwa muda unaotakikana.....
usafi ndio muhimu sio kujidanganya eti nepi ndio nzuri
 
Back
Top Bottom