Diana Chilolo aseme ukweli kuhusu elimu yake

kuanzia kesho tuanze kutoa mlolongo wa matapeli wa elimu, tusimtegemee sana Kainoluga maana yeye udili na wanaojiita maprofesa na Madaktari
 
Bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania lina mbunge aitwaye obama. Hata hivyo hana uhusiano na obama wa u.s. Huyu kashule kapo(bcom), lakini si mwanasiasa,anaweza biashara.
 
Hizi taarifa akizipata Baba Mchungaji Mtilkila anaweza kutusaidia kumfikisha kortini huyu mama muongo wa elimu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom