Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 13,550
- 16,631
Fanya mpango uzae nae japo katoto kamojaEti nakupiga matukio mpaka ukimbie mwenyewe, kanajikuta sijui nani kale katoto. Chefuuuu.
Fanya mpango uzae nae japo katoto kamojaEti nakupiga matukio mpaka ukimbie mwenyewe, kanajikuta sijui nani kale katoto. Chefuuuu.
Haswaa.. Tena tunazingua hadi shetani anakaa pembeni anashangaa yanayotokea. Ni rahisi sana kwa mwanamke kumfanya mwanaume ajione si lolote si chochote. That explains why Dai alijikuta anaokota kila type na kupeleka Madale baada ya kuachana na zee. ile ilikuwa ni kuji comfort kwamba yeye bado ni kidumeNO,hamtuelewi, tukipata mwanaume anafanya mizinguo..na sisi.. tunazingukia humo humo..LOL
hii yote ni kutaka kumringishia Dai halaf kakuta mchiz mwenyewe hata habari hana,huyu mwanamke tukisema malaya watu mnapanic,atamegwa then atatemwa atapata basha mwingine ataendelea kumlingishia Kingbae wa wake a sasa kwamba wewe sisi chochote nimepata goma jingine,nako pia atamegwa na kutemwa mwisho wa siku 50 hii hapa......highest stage of insane
Na humu imeonesha hivyo.Naona unajipa moyo huku unajua kabugi.. Bora angemuongelea Tanasha wake. . Kiki imeenda kwa Queenbae na Kingbae.. Nyimbo haiongelewi na lazima analia kuona Zari ndio alikuwa anamsaidia kuwika. Na humu imeonyesha hivyo.
Mapenzi yanauma,kumegewa kunauma zaidi hahahahahaa
Tena kwa Chips kuku. Mwenzao ana watoto wazur I, matajiri na wanasoma VizuriPeople are dying to have her life... Eeeish smh..... Low life people have problems.. Kuna watu wana pretend to be nice girls while wamelalwa na wanaume zaidi ya ishirini... Unaweza kuhesabu wa Zari wasifike hata kumi but they are here abusing and calling her names...
Jamani kama kudanga is that simple dangeni nanyi mpate hiyo life yake mnayooita fake.... Pheew
nani 'mzinguaji' hapoo??.. kama anawazingua,wakiondoka kwa nini analalamika
Kusema vitu vinavyokusumbua inaleta afya ya ubongoleo!!!!..eti alifanya mizinguo aachwe,kama haimuumi anayasema ya nini baada ya muda wote huu walioachana,??angeyabana kifuani like he always have done...jamaa wenu KAACHWA,AND HE DOESNT GET OVER IT..ALIJIDAI KUIGNORE KAONA YAMEMSHINDA ...kaamua kusema, you know what well done MONDI lol kuna wanaume wengine wanakufa mapema sababu ya kubeba vitu kifuani..LOL
People are dying to have her life... Eeeish smh..... Low life people have problems.. Kuna watu wana pretend to be nice girls while wamelalwa na wanaume zaidi ya ishirini... Unaweza kuhesabu wa Zari wasifike hata kumi but they are here abusing and calling her names...
Jamani kama kudanga is that simple dangeni nanyi mpate hiyo life yake mnayooita fake.... Pheew
Pokea likes mingi mingi.. People envy her life... Chaaaaii
Kawaida hyo mbona...kwa hili namuamini diamond sanaa tu 100% kasema ukweli alikaa kimya siku nyingi mnoo watu wakamuona falaa mondi,nilijua ipo siku ukweli utaanikwa...malipo humu humu mitandaoni!!Unamuamini Kama alivyosema mtoto wa Hamisa mobetto sio wake pale Clouds fm?
Hahaaa....wabongo nuksiii!Wabongo washavamia page ya Mr PView attachment 1079992
Hizo akili wanazitoa wapi ?Siku hao wabongo wakivamia page ya IMF unitag.
yaani na huu mwendo wa single mothers aisee watoto wanakuwa na mapenzi 0% na wazazi wa kiume kwa kuwa wanachongeshewa maneno na huwa wanakua nayo hivyo hivyo kwa kuwa picha ya maisha wanaiona kutoka kwa mama...Ukizaa na mwanamke mkaachana,anatumia mtoto kukuadhibu Mimi pia ni muhanga.Kwa bahati mbaya katika swala LA malezi ya Mtoto always wanaume tunaonekana wenye makosa,ni sawa na beki tatu ashitaki polisi kwamba hujamlipa mshahara hata kama ulimlipa Jana yake hakuna atakaye kuamini...
Atulize sasa asidanganye watu kwenye social media kwamba anakula kwa jasho kumbe anakula kupitia viungo vya mwili wake. Zari ni Malaya wa kimataifa yule.Aliopewa keshapewa tu
Akili zenu za kushikiwa NyieTatizo lenu wanaume mnakitembeza kidudu chenu nje mnachepuka mpaka mnaishiwa nguvu za kiume, tukiona mmezidi tunaamua kuvunja mahusiano kipindi cha kwanza cha kuachana wanawake huwa tunaumia sana. Tukishaamua kumove on na tunazidi kupe deza hatuna time na ww tena tukapata mwanaume zaidi ya yule, hapo ndo mnaanza kuumia. Nyambaaafuuu Zari kamkomesha yule mwakitombile alijua atakua kama Hamisa kumlilia shida Shubamiiiit
Ndo Kama alivyosema Zari alikuwa anamcheat alafu sentensi ya mbele anasema Zari alikuwa muaminifu na wife material kwake ?Kawaida hyo mbona...kwa hili namuamini diamond sanaa tu 100% kasema ukweli alikaa kimya siku nyingi mnoo watu wakamuona falaa mondi,nilijua ipo siku ukweli utaanikwa...malipo humu humu mitandaoni!!
Mimi namuamini daimond adanganye,aseme ukweli vyovyote nimechagua kumuamini,daimond sio mtoto mdogo kiasi cha kukubali kutengana na Zari kirahisi hvyo wakati angeweza muoa bila shida yoyotee...ukiona mtu mzima analia ujue kuna jamboNdo Kama alivyosema Zari alikuwa anamcheat alafu sentensi ya mbele anasema Zari alikuwa muaminifu na wife material kwake ?
Anasema alikuwa anatuma dola 2000 kwa mwezi baadae sentensi ya mbele anasema Zari kamblock hata kumuomba a/c ya kutuma hela kwa watoto anashindwa ataongea na mwanasheria wake ili Zari atoe a/c namba?
Anasema Zari alimpenda kuliko yeye alivyompenda sentensi ya mbele anasema chanzo Cha ugomvi na kuachana Ni Zari kugoma kuamia Tanzania ili waishi wote
Kwaiyo mtu usiempenda unaweza mtaka aje muishi wote?
Huyu ndo mtu unamuamini kwa 100%,?
Your better than this