Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Hili saga la Diamond,mnazungumzia nyumba tu-hao watoto ndio kwenye battle halisi-mama yao anawaambia hakuna kuwaona mpaka wafike 18- what next-ukoo mzima si unaweza kuwa kichaa
 
Nimeelewa ulichoandika ila nimetaka kukazia hapo kwenye sentensi yako ya mwisho sijataka kukazia kwenye hayo mengine na ndo maana nimekwambia nimetoka kidogo nje ya mada ili nikurekebishe hapo mwishoni tu
Nipo sahihi na hamna sehemu ambayo inahitaji marekibisho na nimekupa mifano miwili.

Siku zote mwanaume kauli yake huwaga nzito sababu kiasilia tumepewa mamlaka na ndio maana tunaamuaga kukaaga kimya,sababu ya kuhifadhi hazi ya wenza wetu,hao wanawake wawili wamepiga kelele zaidi ya mwaka na hao wanaume wawili wameongea mara moja tu lakini effect za kauli zao ni kubwa kuliko wanawake waliongea mara nyingi.

Sometimes kwa kauli zetu tunaweza tukajenga au tukabomoa.
 
Hili saga la Diamond,mnazungumzia nyumba tu-hao watoto ndio kwenye battle halisi-mama yao anawaambia hakuna kuwaona mpaka wafike 18- what next-ukoo mzima si unaweza kuwa kichaa
Labda Diamond yeye mweneywe awe mjinga aamue asitake kuwaona,lakini akienda mahakamani Diamond atawaona watoto wake vizuri,Zari hana ubavu wa kumzuia Mondi kama akiamua kwenda kudai haki yake mahakamani.
 
Team Zari hawatakubali ilo litokeee.
 
S kuchapiwa ni siri ya ndani, ebu weka hiyo song kidogo, nijikumbushe.

Mi naona alitabiri hii hali.
 
Labda Diamond yeye mweneywe awe mjinga aamue asitake kuwaona,lakini akienda mahakamani Diamond atawaona watoto wake vizuri,Zari hana ubavu wa kumzuia Mondi kama akiamua kwenda kudai haki yake mahakamani.
Kwa hiyo kuwaona mara mmoja mmoja wewe unaona inatosha?Sheria inayowahusu watoto ni kali sana na ina favour akina mama
 
Tena Zari ni mstaarabu sana yaani kachepuka na wanaume wawili tu... mm ningempa hadi mzee wa dudu la yuyu
 
Kwa hiyo kuwaona mara mmoja mmoja wewe unaona inatosha?Sheria inayowahusu watoto ni kali sana na ina favour akina mama
Nani kwa kwambia ?Refer issues ya Cris brown na Future wasanii wa USA,akienda mahakamani anapewa haki ya kuwaona watoto bila matatizo yoyote na hata kukaa nao kipindi cha likizo.
 
Masharti atakayopewa Diamond na mahakama ya South Africa-anaweza ku run crazy
 
Ningependa tu kujua kama na sheria za Tanzania ziko hivyo maana sheria zinatofautiana na Diamond siyo mmarekani ni mtanzania na sidhani kama ataenda kushitaki kwenye mahakama za Marekani
Sheria za malezi ya watoto zinafanana sana,kama kuna tofauti basi ni kidogo na ukiangalia lengo lao mtoto apate mahitaji muhimu kimwili na kiakili kutoka kwa baba na mama,hayo matatizo yenu yanabaki kuwa ya kwenu.
 
Masharti atakayopewa Diamond na mahakama ya South Africa-anaweza ku run crazy
Hebu yataje hayo mashariti ya mahakama za South Africa? Manake unataka kuleta ushabiki mpaka kwenye malezi ya watoto.

Mahakamani hawaangali matatizo yenu bali wanaangalia mahitaji muhimu ya watoto kimwili na kiakili hawapo pale kumkomoa mtu.
 
mimi naongea nikiwa nawajua watu wengi waliyopata matatizo kama haya na hatima yake mwanamume anaemia-logisticrs za kuwatoa watoto south to and fro is not as easy as you think- ndio maana Zari ana jeuri
 
Wewe unazani mimi siwajui au unawajua wewe tu, mahakama haipo kumkomoa mtu,bali ni kwa ajili ya mtoto apate mahitajili ya kimwili na kiakili (upendo wa baba na mama).
 
Back
Top Bottom