Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Kama hana la kuongea anyamaze.. kwa sababu alisapoti mziki wa P square wakati wenzake wametoa alizoshiriki ndio anaongea upuuzi huo.. kisa kiki ya mziki.. huyu hamjui Zari.. walikitania Madale au Tandale alipowakutanisha??

Ua jeusi halijamuacha salama chati imepungua.. asali apande tena.
Kama aliweza kumkana mwanae mchana kweupe atashindwa kutunga story Kama hii.. ..diamond ni mshenz Sana kwenye mahusiano halafu ndio wa Kwanza ku play victim card
 
Zari nilimjua kitambo enzi hizo nafuatilia East Africa showbiz.. alikuwa anatajwa kama socialite mwenye pesa zaidi EA ila kilichonishangaza ni kuonesha fancy cars na nyumba lakini hana historia ya kukuambia alivipataje zaidi ya kujihusisha na rich gang ya UG..

Hana tofauti na Vera maana wote ni socialites successful waliojua kutumia miili yao vizuri; hapa bongo hakuna socialites wenye pesa maana wengi elimu form four na zero exposure (hapa ndipo zari kawazidi haswa kwenye exposure)..
Mimi huwa nikiwaangalia hawa wanaosema ni role model huwa najiuliza ni kwenye nini ???... wabongo kwa shobo asee
Kweli tunae shobo
 
Ndio maana wengi wanamuona Zarina kama hustler sijui nini.

Waulize wataje biashara 3 tu za Zari zaidi ya kuwa danke danke. Tofauti yake na wengine yeye anadeal na wanaume wenye hela ili awalie hela zao baasi ila hana ubosslady wala usafi wowote yani
Yeye na Wema hawana tofauti hata sema tu mmoja analiwa na mataifa mmoja anakitembeza bongo ila Zari hayuko hivyo fans wake wa bongo wanavyomchukulia.

Tatizo hawajui hata alishaachana na Ivan akaenda kwa Peter akajuaga Peter atamuoa mpaka safari ya kina Peter Bongo alikuja bila kuitwa.

Anahangaikaga Huyu aaminishe watu ana maisha mazuri
Babe
kwani unateseka na maisha ya Zari ?
 
Na yeye diamond apunguze uongo .alivyokuwa akisema ataenda south kwa magoti kuomba msamaha. Inawezekana kweli yule mwanamke alikuwa anacheat ila kuzaa mpaka nje ni breaking point kwa mwanamke unaona liwalo na liwe. Kama noma na iwe noma
 
Twende na kurudi nyuma jamaa anashindwa vipi kwenda south kuona watoto? Yule mtoto wa kike alikuwa anampenda sana babaake. Uwezo anao angeenda.
unajuaje kama Zari anamfungia mlango akigika south?
 
uliwahi kumskia analalamika kwamba kaachwa?

leo!!!!..eti alifanya mizinguo aachwe,kama haimuumi anayasema ya nini baada ya muda wote huu walioachana,??angeyabana kifuani like he always have done...jamaa wenu KAACHWA,AND HE DOESNT GET OVER IT..ALIJIDAI KUIGNORE KAONA YAMEMSHINDA ...kaamua kusema, you know what well done MONDI lol kuna wanaume wengine wanakufa mapema sababu ya kubeba vitu kifuani..LOL
 
Chibu na hela zake bado wahuni wamemmegea hiv wanawake huwa wanataka nn? bado wapo waliotuaminisha kwamba jamaa on bed yupo romantic sjui ana hogo na mengine mengi lkn still bado kamegewa tena ukute hadi kisanvu katoa dadeki kweli mwanamke noma.
ila Peter ujue kaanza kula Zari hata kabla ya Mond....fatilia
 
leo!!!!..eti alifanya mizinguo aachwe,kama haimuumi anayasema ya nini baada ya muda wote huu walioachana,??angeyabana kifuani like he always have done...jamaa wenu KAACHWA,AND HE DOESNT GET OVER IT..ALIJIDAI KUIGNORE KAONA YAMEMSHINDA ...kaamua kusema, you know what well done MONDI lol kuna wanaume wengine wanakufa mapema sababu ya kubeba vitu kifuani..LOL
Kaulizwa maswali na Aaliyah na Jonijoo ulitaka ajibu nini angalia vitu anavyopost sasa hivi Zari kachanganyikiwa anajibu mapigo
 
Back
Top Bottom