Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

MMMNhhhhh…. hata kama alikua anacheat,yeye Diamond hakucheat pia??..wanawake kuletewa mtoto ndani ni breaking up point...uhusiano lazima ulege lege...afadhali umkute mwanaume na mtoto ila sio kuletewa ndani, wachache sana wana survive this,mie simlaumu Zari kutafuta na kupata attention somewhere else...Mondi ndio responsible kila siku wanawake...hafu sasa hivi anataka ku play sympathy/victim card..hovyoooooo
 
Sema story ya Zari na Peter kitambo kweli kumbe hawakuachanaga?

Haya wale wa bidada bosslady kumbe anadanga tu kama Sisi waje waone alivyokua anakitembeza
Wengi wamemjua Zari kupitia diamond ila cha ajabu wanamdharau diamond kwa sababu ni mwanaume ambaye anajaribu kuficha aibu ya mama wa watoto wake..

Huyu zari nae hana tofauti na tulionao bongo na tena akheri wao hawana hata sex tapes mitandaoni, huyu ni seller kama seller wengine ila kwa kuwa ni wale wanaojiweka classy baada ya kukaribia retirement age plus ugeni na English anaonekana wa maana sana bongo..

Siafiki diamond alichokifanya ingawa najua ni biashara tu lakini Zari is overhyped..
 
Ndio maana wengi wanamuona Zarina kama hustler sijui nini.

Waulize wataje biashara 3 tu za Zari zaidi ya kuwa danke danke. Tofauti yake na wengine yeye anadeal na wanaume wenye hela ili awalie hela zao baasi ila hana ubosslady wala usafi wowote yani
Yeye na Wema hawana tofauti hata sema tu mmoja analiwa na mataifa mmoja anakitembeza bongo ila Zari hayuko hivyo fans wake wa bongo wanavyomchukulia.

Tatizo hawajui hata alishaachana na Ivan akaenda kwa Peter akajuaga Peter atamuoa mpaka safari ya kina Peter Bongo alikuja bila kuitwa.

Anahangaikaga Huyu aaminishe watu ana maisha mazuri
 
MMMNhhhhh…. hata kama alikua anacheat,yeye Diamond hakucheat pia??..wanawake kuletewa mtoto ndani ni breaking up point...uhusiano lazima ulege lege...afadhali umkute mwanaume na mtoto ila sio kuletewa ndani, wachache sana wana survive this,mie simlaumu Zari kutafuta na kupata attention somewhere else...Mondi ndio responsible kila siku wanawake...hafu sasa hivi anataka ku play sympathy card..hovyoooooo
Naona umetoka usingizini, Diamond kaeleza vyema kasema hivi kwanza hajawahi kuachwa kabisa ila anawafanyiaga vimbwanga mpaka wanaondoka wenyewe.

Zari alikuwa kamfanya zuzu, sasa baada ya kuona upuuzi wa zari umezidi kwa sababu trainer wa zari kashamfinya zari kitandani kwake akaanza yeye kumfanyia za kiswahili zaidi hadi kakimbia Listen Radio now before they sign out
 
Mbona unakua mgumu kuelewa? zinangatia huu mstari "ukizingua nakupa matukio utaindoka mwenyewe tu"
 
Naona umetoka usingizini, Diamond kaeleza vyema kasema hivi kwanza hajawahi kuachwa kabisa ila anawafanyiaga vimbwanga mpaka wanaondoka wenyewe.

Zari alikuwa kamfanya zuzu, sasa baada ya kuona upuuzi wa zari umezidi kwa sababu trainer wa zari kashamfinya zari kitandani kwake akaanza yeye kumfanyia za kiswahili zaidi hadi kakimbia Listen Radio now before they sign out

eti ''anawafanyia vimbwanga wanaondoka wenyewe'' kujidai kidume tu kwenye radio..yeye ndie aliachwa na ua jeusi akapewa,wote tuliona msitudanganye hapa….
 
Mrembo tatizo unasoma huelewi, Diamond kwa mujibu wa maelezo yake hajawahi kuachwa ila anafanya vitimbwi mpaka wanayeya wenyewe.

hahahah awe amefanya vitimbwi ama not,ukweli ni kaachwa….u cheat, halafu ujidai ulikua unafanya 'mizinguo' tu ili uachwe??
 
Twende na kurudi nyuma jamaa anashindwa vipi kwenda south kuona watoto? Yule mtoto wa kike alikuwa anampenda sana babaake. Uwezo anao angeenda.
Nyumba wanayoishi Zari. A watoto ni ya Mondi kasema hivyo ila Zari analeta figisu watoto anawapeleka UG tu huku bongo visingizio kibao
 
Ndio maana wengi wanamuona Zarina kama hustler sijui nini.

Waulize wataje biashara 3 tu za Zari zaidi ya kuwa danke danke. Tofauti yake na wengine yeye anadeal na wanaume wenye hela ili awalie hela zao baasi ila hana ubosslady wala usafi wowote yani
Yeye na Wema hawana tofauti hata sema tu mmoja analiwa na mataifa mmoja anakitembeza bongo ila Zari hayuko hivyo fans wake wa bongo wanavyomchukulia.

Tatizo hawajui hata alishaachana na Ivan akaenda kwa Peter akajuaga Peter atamuoa mpaka safari ya kina Peter Bongo alikuja bila kuitwa.

Anahangaikaga Huyu aaminishe watu ana maisha mazuri
Zari nilimjua kitambo enzi hizo nafuatilia East Africa showbiz.. alikuwa anatajwa kama socialite mwenye pesa zaidi EA ila kilichonishangaza ni kuonesha fancy cars na nyumba lakini hana historia ya kukuambia alivipataje zaidi ya kujihusisha na rich gang ya UG..

Hana tofauti na Vera maana wote ni socialites successful waliojua kutumia miili yao vizuri; hapa bongo hakuna socialites wenye pesa maana wengi elimu form four na zero exposure (hapa ndipo zari kawazidi haswa kwenye exposure)..
Mimi huwa nikiwaangalia hawa wanaosema ni role model huwa najiuliza ni kwenye nini ???... wabongo kwa shobo asee
 
Back
Top Bottom