Mi wote nawakubali ila kwenye ukweli tuseme,kiba kajisahau
me naanzisha alafu nifah miss strong geniveros mnafuatilia sawa?? haya twende sasa imba kwa sauti dangote! dangote! dangote! dangote! dangote! dangote!
hii coke studio ya wapi?naona nyimbo kibao zinapigwa,how hawa majamaa wanafuatilia mziki wa kibongo hivi
io ni project kubwa sana sio africa tu adi mabara mengine mfano india na wanachoangalia kipaji kujituma umaarufu ulio nao na vngne ndo mana wapo mastar wengi iyanya waje na wengne kutoka naijeria uganda kenya mozambique tanzania na nchi nyingne
mdada mnaijeria anaitwa chidnma watanzania wapo wengi kidogo na wanaweza ongezeka mwakani kwa sasa ivi shaa,vannessa,diamond,johmakini niliona insta wamemwomba godzilla kuwafollow labda mwakani ataongezekajoh makini naye alikwepo sijui kaimba na nani sikumbuki vizuri
thubutu................me mwana Dar es Salaam
Kwan King Kiba hayuko Koke studio..??
Yeye nasikia kuna PROJECT ya azam cola studio.... hio inaanza mwakani I guess atashiriki.
Yeye nasikia kuna PROJECT ya azam cola studio.... hio inaanza mwakani I guess atashiriki.