Diamond & Yemi wametisha sana humu

Diamond & Yemi wametisha sana humu

nini comments bwanaaa, anzisha uzi wa kiba, is there any current news about him, let me think........!!!!!! nikipata nitakusaidia ila nikikosa hatuna jinsi tutaendelea tu kucomment kwa mondi mpaka bandle liishe sio ndio eti???

Hhhhhjhhaaaaaaaa upogo mchokoziii weweeee, nifah njoo paula anakuchokozaaa
 
Last edited by a moderator:
Chuki inafanya mtu asione point ya kitu....my point ilikua kumpongeza kwa kazi nzuri na ilikuja baada ya kuona comments za watu ktk hio video....
But people have taken sides so hawacomment tokana na fact ila chuki tu.
 
Achana naooooo
 
hahahahaaa kashaniona ndio kaagiza mche wa jamaa na maji ya uhai ndogo kwa mangi hilo povu mbona nitajuta mimi Dina nikizidiwa naomba backup plzzz

Hhhhhhhhaaa subiri aje atakutoa mkuku huyoooo
 
Last edited by a moderator:
hahahahaaa kashaniona ndio kaagiza mche wa jamaa na maji ya uhai ndogo kwa mangi hilo povu mbona nitajuta mimi Dina nikizidiwa naomba backup plzzz

Wala sina time na wewe mama....nipotezee kama vipi
 
Last edited by a moderator:
Unavyonishangaa mm kufungua Uzi kwa kupongeza kazi ya diamond unafanya na mm pia nikushangae kwa nn unishangae....
Tupunguze chuki watanzania.wivu mbaya sana.
Yaani mtu from no where unaumia kuona mwenzako kapost kuhusu diamond kweli inakuja hiyoo???
Mbaya zaidi nimetoa maoni yangu juu ya kazi yake na Yemi,na ww toa yako bhasiii.

watoe ipi sasa hakuna ndio maana wamejazana kwenye huu uzi wanagongana gongana tuu embu mtutolee jam humu kaazisheni wenu.
 
Chuki inafanya mtu asione point ya kitu....my point ilikua kumpongeza kwa kazi nzuri na ilikuja baada ya kuona comments za watu ktk hio video....
But people have taken sides so hawacomment tokana na fact ila chuki tu.

kama wanaona gere wavae miwani😎
 
kiba na diamond wote nawakubali,ila diamond anajitihada nzuri.

Na hizo jitihada ndio zinafanya achukiwe lakini sababu zinakua ooh anaringa mara ana dharau...lakini yote ni kwasababu ndani ya miaka 5 amejitengeneza mpaka kuwapita waliotangulia na hilo ndio kosa na chanzo cha chuki na wala sio dharau au maringo yanayofanya achukiwe.
 
kiba na diamond wote nawakubali,ila diamond anajitihada nzuri.

Mi kiba nampenda pia lakini ananiangushaaa nangojaa nione afanye marekebishooo niwe shabiki wake kiukweliii na ana sauti nzuri sana hilo halipingikiii
 
Mi kiba nampenda pia lakini ananiangushaaa nangojaa nione afanye marekebishooo niwe shabiki wake kiukweliii na ana sauti nzuri sana hilo halipingikiii

Mi wote nawakubali ila kwenye ukweli tuseme,kiba kajisahau
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom