Afu kweli ujue!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Bosslady wapi bwana wewe!!huyo bibi hana Ishu...Showoff zinammaliza,anapenda umaarufu kupitiliza!!
.
Ila nilichojifunza ni kwamba kama huna uhakika na kitu basi usikimbilie kumuacha mtu...inauma sana kumuacha mtu uliesema ni malaya,halafu akaja akapata mtu mzuri na akatulia sàna,hakika inauma!!Zari alitegemea Tanasha ni demu wa kupita tu,sasa kumbe Diamond ndio ameweka kambi!!.
.
Sikuzote nasemaga anayeacha anaumia zaidi kuliko anaeachwa!!ukiachwa ni rahisi sana kumoveon kuliko ukiacha[emoji1787]muda wote unatamani uliemuacha aendelee kuharibu ili ujione ulikua sahihi kumuacha...sasa ukiona ametulia,anafanya mambo yake na hana habari na wewe haloooo inaumaaa!!!
Hata ukimuangalia Zari matendo yake, Ni anampenda Diamond kupita kiasi[emoji848]
Sema naamini yeye hakupendwa kweli kiviile, so sad
Acha atoe machungu yake, labda iko siku atapoa, ila jana kama vile alikuwa kalewa[emoji16]
Mi ndo mondiMbona kutwa na maisha ya celebrities, nyie yenu mbona hayaripotiwi
Huyo kwa avatar ni weweHata ukimuangalia Zari matendo yake, Ni anampenda Diamond kupita kiasi[emoji848]
Sema naamini yeye hakupendwa kweli kiviile, so sad
Acha atoe machungu yake, labda iko siku atapoa, ila jana kama vile alikuwa kalewa[emoji16]
Km umeangalia vizuri hii issue diamond baada ya kuachana na zari siku wahi kumsikia hata siku moja diamond akimzungumzia zari ingawa zari ndio alikuwa akimzungumzia vibaya diamond mara anamwita diamond paka mara maneno mabaya kwenye page yake ya insta na diamond akumjibu Wala Nini japo alikuwa anaulizwa na waandishi wa habari lkn jamaa alikuwa anakwepa.kosa aliyofanya zari kwenda BBC nakumtuhumu diamond atoi hela kwa watoto wake amewatekeleza diamond uzalendo ukamshinda akaona nikimwacha huyu manzi ataniaribia image yangu kwa mashabiki zangu ndo akafunguka kwa mara ya Kwanza Kwenye interview aliyofanya Kwenye radio yake wasafifm kwahiyo zari mwenyewe ndo kayataka yote haya Sasa hiv anakula matapishi yake.Tatizo lenu hampendi mtu aseme ukweli mimi nikiona harusi ndio nitaamini halafu mbona na domo kutwa kumuongelea zari kwani kuna ubaya kwa watu walio zaa pamoja hawa hata mfanyaje wataongea tu ipo siku labda watoto wapotee.
Anajuta sana!!yaani unamuona kabisa huyo KingBae anatumiwa tu kupooza machungu ila bado machungu hayataki kutoka!!anaumia sana,kweli malipo ni hapahapa duniani,alivyomfanyia Ivan mpaka akamtia stress za umauti baba wa watu na yeye leo yanamkuta hayohayo....Zari anampenda sana Chibu,saana..Km umeangalia vizuri hii issue diamond baada ya kuachana na zari siku wahi kumsikia hata siku moja diamond akimzungumzia zari ingawa zari ndio alikuwa akimzungumzia vibaya diamond mara anamwita diamond paka mara maneno mabaya kwenye page yake ya insta na diamond akumjibu Wala Nini japo alikuwa anaulizwa na waandishi wa habari lkn jamaa alikuwa anakwepa.kosa aliyofanya zari kwenda BBC nakumtuhumu diamond atoi hela kwa watoto wake amewatekeleza diamond uzalendo ukamshinda akaona nikimwacha huyu manzi ataniaribia image yangu kwa mashabiki zangu ndo akafunguka kwa mara ya Kwanza Kwenye interview aliyofanya Kwenye radio yake wasafifm kwahiyo zari mwenyewe ndo kayataka yote haya Sasa hiv anakula matapishi yake.
Hahahaaaa!!!!Tofauti ya Zari, Esma na Bi Sandra ni Kiingereza tu lakini wote ni watu wa Manseze
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]diamond alitaka inkubeta baaaasiAnajuta sana!!yaani unamuona kabisa huyo KingBae anatumiwa tu kupooza machungu ila bado machungu hayataki kutoka!!anaumia sana,kweli malipo ni hapahapa duniani,alivyomfanyia Ivan mpaka akamtia stress za umauti baba wa watu na yeye leo yanamkuta hayohayo....Zari anampenda sana Chibu,saana..
Wanafunguka ukweliWatu wakilewa wanatoa ya moyoni!!!
Amemuongeleaje?Nampenda Zari, lakini kumuongelea Tanasha ni no, no ,no
That is very true.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!!!washaambiwa ukiachwa achika hawataki kukubali!
Dada yangu aliniambiaga km unampenda mwanaume usimuache,itakula kwako...maana hakuna kitu kigumu km kumov on...its a process very long!!!