decent girl
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 302
- 139
=================
Huyo jamaa sio Diamond ni kufanana tu, alitokea kwenye afterxul bash 2014 wakati wanatafuta watu waliofanana na mastar na akashinda mtonyo wa kutosha tu..
Hizi ndio picha za watanzania wanaofanana na Bruno Mars,Ngwea,Diamond,shetta walipojitokeza - TZA_MillardAyo