Prezidah
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 750
- 182
Habari zenu wanajamvi, ule mgogoro wa chinichini ambao unasifika kwa kukuzwa na media hatimaye umehitimishwa rasmi baada ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe kufanya kikao cha upatanisho baina ya mastaa hao.
Katika kuudhihirishia umma wawili hao wameimba wimbo mkali wa pamoja hivi karibuni. Kutokana na shauku kubwa ya mashabiki wa pande zote utambulisho wa wimbo huo utafanyika uwanja wa taifa.....dah sorry kumbe naota ndoto ?