Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,850
Kwa muda sasa nipo hapa JF lakini sijawahi kuandika suala linalohusu bongo fleva.
Lakini leo acha nitowe mtazamo wangu juu ya muziki huo.Huku nikijikita kwa Diamond na Ally Kiba.
Nimeusikiliza wimbo mpya wa Kiba unaitwa Lupela.
Kwa kweli nimemeshimu na kuona uwezo alionao Kiba kwenye muziki zaidi ya Diamond
Na kwa wimbo huu vipo vitu kadhaa akiweza kuvifanyia kazi,Baasi Kiba anaenda kufikisha muziki wake level kubwa.
1.Video iwe kubwa,Hii nyimbo ni mahadhi ya House music na video za aina hii ya muziki,zinahitaji ubunifu na location za dunia ya kwanza.Asijali gharama.
2.Katika wale waliomfanyia video za kwanza,Walimwaribia.Hii asiwape tena amwilike wakubwa zaidi.
Endapo Kiba hii nyimbo akiipa heshima kwa chupa kaaaliiii ni wazi safari ya Diamond itasitishwa ghafla na huyu kijana.Believe me or not
Huu ni wimbo utakuwa maarufu sana kwenye ma club makubwa na si Africa pekee,Hata ulaya hizi ni aina ya mziki wao.
Uwezo alionyesha Kiba kwa huu wimbo,Bila hiyana natamka rasmi,Diamond harudi shuleni.Kiba ni KING kwake.