Diamond VS Ally Kiba wapatanishwa rasmi

Prezidah

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
750
182
Habari zenu wanajamvi, ule mgogoro wa chinichini ambao unasifika kwa kukuzwa na media hatimaye umehitimishwa rasmi baada ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe kufanya kikao cha upatanisho baina ya mastaa hao.

Katika kuudhihirishia umma wawili hao wameimba wimbo mkali wa pamoja hivi karibuni. Kutokana na shauku kubwa ya mashabiki wa pande zote utambulisho wa wimbo huo utafanyika uwanja wa taifa.....dah sorry kumbe naota ndoto ?
 
Habari zenu wanajamvi, ule mgogoro wa chinichini ambao unasifika kwa kukuzwa na media hatimaye umehitimishwa rasmi baada ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe kufanya kikao cha upatanisho baina ya mastaa hao. Katika kuudhihirishia umma wawili hao wameimba wimbo mkali wa pamoja hivi karibuni. Kutokana na shauku kubwa ya mashabiki wa pande zote utambulisho wa wimbo huo utafanyika uwanja wa taifa.....dah sorry kumbe naota ndoto????,

Usihofu! Vp mtihani ulikuwaje lakini? Je kuna matumaini au!
 
Nimecheki interview ya kila mmoja wao kwenye the sporah show it seems kuna ukakasi fulani baina yao ambao u killing an is ha na hadhi zao si dalili nzuri
 
Habari zenu wanajamvi, ule mgogoro wa chinichini ambao unasifika kwa kukuzwa na media hatimaye umehitimishwa rasmi baada ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe kufanya kikao cha upatanisho baina ya mastaa hao.

Katika kuudhihirishia umma wawili hao wameimba wimbo mkali wa pamoja hivi karibuni. Kutokana na shauku kubwa ya mashabiki wa pande zote utambulisho wa wimbo huo utafanyika uwanja wa taifa.....dah sorry kumbe naota ndoto ?
Weka picha basi
 
Ha Ha Ha Ha Ha Ha Au Ndo Tusubirie Division 5

Big Result Now (BRM) Division 5 is BIGGER then Division 4 na poits nazo zimeongezeka toka 35 hadi sijui arobaini na ngapi vile? Everything on a BIGGER scale. That's BRN!
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom