Diamond soma alama za nyakati mapema

Diamond soma alama za nyakati mapema

Mmeshaambiwa "Ngo kigoma hatoki boyi" (in braza K voice)muangalie asiwashukie huku huku
 
Unaweza ukasema labda ni kwasababu hawana elimu..lakini ukageuka na kukumbuka yanayoendelea sasa ya yule professor msomi na wale ma-Dr wa "..nihurumie mimi nimekosea..sina pakwenda mimi.."

Mwisho utagundua kwamba busara na hekima bado vinaendelea kuwa vitu vya msingi sana katika utu wa binaadam
Umeongea maneno ya maana sana
 
MAMA LA MIAKA 50,KWANINI WEWE ULITUKANE ......??
Mtu Mzima Kwenye Social Media Unatafuta Nn Kwanza.. Hufanyi Business Wala Nn Unapost Tu. bora Ukae Ule Hela Za Mwanao tu kuliko kujidhalilisha..

Ndo Matatizo Ya Uswazi Kina kwa kina Manfongo
 
Mtu Mzima Kwenye Social Media Unatafuta Nn Kwanza.. Hufanyi Business Wala Nn Unapost Tu. bora Ukae Ule Hela Za Mwanao tu kuliko kujidhalilisha..

Ndo Matatizo Ya Uswazi Kina kwa kina Manfongo
Imeandikwa wapi kuwa mtu mzima hatakiwi kuwepo kwenye social media .........Na yale matangazo anayoyawekaga huwa uyaoni,au unadhani anafanya bure ..........Au hujawahi kuona yupo kwenye tangazo la Voda,unadhani hasingekuwepo huko social media angelipata lile dili ......Usimfananishe yule mama na mimama ya hovyo, yule Mama anatengeneza pesa nyingi sana.
 
Back
Top Bottom