Mbona naona kama una bwaja bwaja tu .afu uelewi wala kujua unacho taka kusemaKwanini mondi afifie baada ya harmonize kutoka?
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Nenda Youtube mkuu keshaanza kuachia ngoma
Mkuu Ile UNO lazima Mond angefosi kolaboKwaiyo kwa uwezo wako wa kufikiri una taka kusema harmonize ndo ana waandikia nyimbo au..na adi sasa harmonize kaandika ngoma gani ya kutisha
Harmonize na Mavoko mkuu, tatizo watu hawataki kukubali, Si kwamba Diamond alikua anaandikiwa ngoma sana na hao Bali walikua wanashauriana kama teamKwanini mondi afifie baada ya harmonize kutoka?
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
MBONA ALIKIBA KASHIRIKISHWA NA JUSTIN BIEBER HATUSEMI, SIE HATUPENDI SHOW OFFS
Hata King kiba ,King wa music Africa alimfunika Rihana bt King mmiliki wa king's music leb Hapendi show off na wala hakuposti mitandaoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Write your reply...kiba hataki kufanya kolabo na wasanii wa nje sababu hapendagi show off yaani kama unajua unajua tu jamaa ni balaa
ndo maana jay z alimsifia ye ni balaa sema hakutaka watu wajue
hahhahahaha, kibakuli ana mashabiki wavumilivu sana wallahiMBONA ALIKIBA KASHIRIKISHWA NA JUSTIN BIEBER HATUSEMI, SIE HATUPENDI SHOW OFFS
Sijawah ona mtu ana miwasho ya aina yako AU WE DIVA?..MBONA ALIKIBA KASHIRIKISHWA NA JUSTIN BIEBER HATUSEMI, SIE HATUPENDI SHOW OFFS
TATIZO UNATUMIA NGUVU NYINGI, AKILI UMEUZA AU? 🤔
Usitake kutuaminisha mawazo yako maki wewe? Anafifia kwenu au?Kwanini mondi afifie baada ya harmonize kutoka?
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧