Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,206
- 27,015
Alikiba anazo zaidi ya hio sema hapendi kujionyesha
Asipojionyesha anaotaka kuwapigia shooooooo watajuwaje? Uwongo mwingine bana... Halafu huyu katangaza show zake ili watu huko wajipange na ratiba zao..Ali kiba pia ana shows nyingi sana ila hajionyeshi