Diamond Platnumz ni fundi

Diamond Platnumz ni fundi

Huo Wimbo Mi Sijausikiliza Wala Video Sijaiona
Jigo
 
Huu wimbo Mbona hauna tofauti na style ya Kasimu Mganga.

Kasimu amesha Tumia sana beat na maadhi ya Namna huu ya kipwani. Huu wimbo hauwezi kuwa Heat duniani

Afadhali bambam kuliko huu. Alitakiwa atoe style za bambam

Kassim mganga kwa vocal bongo sijaona sijui kwanini jamaa hapewagi sifa sake
 
Alaf kila siku mnasema diamond mbunifu.'
Kama n mbunifu atoe wimbo usiohusu mapenzi then ufunike kama yule mtoto wa k/koo..

unampangia cha kufanya??? nyimbo za ujumbe na zisizokuwa za mapenzi si anafanya kiba??? muwachee daimond atupe vitu vitamuuuuu buanaaaa
 
Itabidi niitafute upesi.

Yule "mwana DSM" kashatoa video nae? Na inapigwa wapi?
 
Alaf kila siku mnasema diamond mbunifu.'
Kama n mbunifu atoe wimbo usiohusu mapenzi then ufunike kama yule mtoto wa k/koo..

Video ya huyo jamaa wako imefika wapi?

Kapata tuzo ngapi?

Internationally kawa recognized kiasi gani?

Weka stats mezani acha maneno kama babu wa samunge
 
Video ya huyo jamaa wako imefika wapi?

Kapata tuzo ngapi?

Internationally kawa recognized kiasi gani?

Weka stats mezani acha maneno kama babu wa samunge

jinga hilo
 
Video ya huyo jamaa wako imefika wapi?

Kapata tuzo ngapi?

Internationally kawa recognized kiasi gani?

Weka stats mezani acha maneno kama babu wa samunge

waambie hao wanadhani timu bora n chenga nyng.timu bora n magol bhana na vkombe
 
hv umeshawah kuona kweny tuzo kuna kpengele cha mchano bora?jbu hakuna bal kuna wmbo bora wa hp hop.sasa wmbo n nomino na ktenz chake n imba so ktendo cha fd ku uwaslsha wmbo wake hapo tunasema ameimba
 
Kusema ukweli jamaa anajua nimetoka kuicheki video ya wimbo wake mpya Unaoitwa NITAMPATA WAPI ambao umetoka kupigwa muda si mrefu kwenye kituo cha TV cha TRACE video yake imesimama kweli kweli na ukichanganya na modal wake wa kizungu ipo vzuri sana ila ameniudhi tu vituo vya bongo vya TV na Redio haijasambazwa amefanya vibaya

ushauri kwa mods,kwa kua tayari kuna special thread ya diamond fans' ingekua vyema mada zinazo anzishwa humu jamvini ambazo zina jirudia au mada ambazo tayari zipo kwenye ile special thread na hapa jamvini zina funguliwa tena uzi wake basi ni vyema zikawa moved to that diamond special fans' thread ili kuepuka kujadili mada mara mbili mbili.
 
Haters @work!!
 
Back
Top Bottom