Diamond Platnumz ni fundi

Diamond Platnumz ni fundi

Tunko

Senior Member
Joined
Dec 24, 2013
Posts
181
Reaction score
41
Kusema ukweli jamaa anajua nimetoka kuicheki video ya wimbo wake mpya Unaoitwa NITAMPATA WAPI ambao umetoka kupigwa muda si mrefu kwenye kituo cha TV cha TRACE video yake imesimama kweli kweli na ukichanganya na modal wake wa kizungu ipo vzuri sana ila ameniudhi tu vituo vya bongo vya TV na Redio haijasambazwa amefanya vibaya
 
Hapana, amefanya vizuri tena ingewezekana ingebaki huko huko manake ikianza kupigwa TZ, watu utasikia oh, anabebwa na ma-scandal... yaani watu hawataki kukubali kwamba kila zama na kitabu chake!!! "mmoja anaingia, mmoja anatoka...
 
Last edited by a moderator:
Alaf kila siku mnasema diamond mbunifu.'
Kama n mbunifu atoe wimbo usiohusu mapenzi then ufunike kama yule mtoto wa k/koo..
 
Huu wimbo Mbona hauna tofauti na style ya Kasimu Mganga.

Kasimu amesha Tumia sana beat na maadhi ya Namna huu ya kipwani. Huu wimbo hauwezi kuwa Heat duniani

Afadhali bambam kuliko huu. Alitakiwa atoe style za bambam
 
Alaf kila siku mnasema diamond mbunifu.'
Kama n mbunifu atoe wimbo usiohusu mapenzi then ufunike kama yule mtoto wa k/koo..

kla mtu na uimbaj wake,uclazmishe kla mtu aimbe km mwenzie anavyoimba hata fd q hawez kuimba km roma japo wote n wana hp hop
 
Back
Top Bottom