Kinumbo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 3,189
- 5,821
Huyu jamaa ni balaa. Yale mapokezi amepata kule Kigoma si mchezo. Jamaa amekusanya watu utadhani kama kuna mgao wa mabilioni. Huyu jamaa akigombea urais anapita kwa kura zote. Yaani ukimwona Diamond Platnumz ujue hiyo ndiyo Tanzania.
Na kuna taarifa za chini ya kapeti kwamba jamaa anaandaliwa kuwa rais wa mbeleni, pia serikali imeongeza ulinzi kwake tofauti na wale walinzi wake binafsi. Yaani baada ya serikali kuona jamaa ana sepa na kijiji kila mahali anapokwenda basi wako makini naye.
Ila fundi wa jamaa ni balaa.