Diamond Platnumz na WCB kiujumla mnatukosea

tumpe mda na yeye atapita ila historia yake itakuwa hivi DAIMOND NDIO MSANII ALIEWEZA KUTOA NYIMBO ZINAZOPOTEZA RADHA NDANI YA WIKI kwahy mtoa mada hakuna namna tumuache

Sure ila diamond wa kutoka 2017 kurudi nyuma nyimbo zake zinaishi

Hili lilitegemewa baada ya kukimbilia ku modify nyimbo za watu akazikuza kakosa za kwake za kutunga

Solution amwajiri mtunzi
 
Wimbo mbovu wa wcb kuliko zote za mwaka huu

Kubali tu

Hata mimi napenda nyimbo za wcb, ila huu umelipuliwa
WCB hakunaga nyimbo mbovu kwanza,pili Kama unaipenda WCB usingediliki kusema mbovu,tatu Kama ni mbovu isingekuwa number moja trending,nne Kama ni mbovu usingeijuwa hata jina,tano hakuna ngoma Kali Kama AMABOKO 2020 sawa,mwisho WCB ni Kama maji.
 
Sure ila diamond wa kutoka 2017 kurudi nyuma nyimbo zake zinaishi

Hili lilitegemewa baada ya kukimbilia ku modify nyimbo za watu akazikuza kakosa za kwake za kutunga

Solution amwajiri mtunzi
unachekesha sana,badala useme alikiba ndo amwajili mtunzi,eti unasema diamond kweli MFUNIKO NA PIPA MMEKUTANA,hakuna Kama diamond SIMBA na ataendelea kuwalambisha jaramba so kaeni kimya SIMBA BABA LAOOO,WCB CHAMA LAOOOOO.
 
Majibu ya kike haya, dunia ya sasa ni ya ushindani wa hoja, umiza kichwa mtoto wa kiume, pinga kwa hoja mjini hapa ukiwa laini laiin hiv ni hatari
We jamaa niaje..

Hilo ni jibu rahis sana kwa mtu kama ww...kwann uumize kichwa chako kumtaka msaanii akuimbie nyimbo ikae miaka 20 sokon? Demand ya mzik anaijua yeye na sio ww,mzik ni biashara,unataka afanye nini akuridhishe wew shabik mmoja wakat the rest wanataka hizo hizo ngoma za wiki moja na pesa anapata nzur tu...

Nitajie msaani saiz anaetoa ngoma ya kukaa miaka 20,,hao unaowaita westlife sijui wako wapi sasa? Juzi japo walijarbu kurud na ngoma zao hizo za kuish miaka 20 lakin kikwap? Game imechange...

Mwanaume kulilia mwanaume mwenzio akuimbie nyimbo ya miaka 20 that weird bro ,ww unalijua soko la Diamond? Ww unajua mashabik wake wanataka nin kuliko yeye mwenyew?

Sasa nakushaur tena... ingia YouTube, search westlife,pakua ngoma zao zote kisha enjoy mzik wa miaka 20 mkuu..usiumize kichwa chako kwa hao wcb
 
We jamaa kavu sana...

Fact WCB CHAMA LA WANA.
 
unachekesha sana,badala useme alikiba ndo amwajili mtunzi,eti unasema diamond kweli MFUNIKO NA PIPA MMEKUTANA,hakuna Kama diamond SIMBA na ataendelea kuwalambisha jaramba so kaeni kimya SIMBA BABA LAOOO,WCB CHAMA LAOOOOO.

Trending no.1, viewers wangapi?
 
Dah hongera kwa kuwa na ustahimilivu wa kusikiliza ngoma zao. Hawa jamaa kiukweli nyimbo zao sizielewagi maana hazizungumzii dhamira ya mapenzi kama hisia za upendo na kujali, bali zina central theme ya kuhamasisha ngono mwanzo mwisho. Nyingine zimeenda mbali kuhamasisha na kutukuza kushiriki ngono kinyume na maumbile. Nyimbo zao na baadhi ya bongofleva zina mchukulia mwanamke kama sex object ambaye she always needs to be fuc**d Muda wowote

Sawa hata kama wanaimba kile jamii inataka lakini wamezidisha sana kiasi kwamba mmomonyoko wa maadili unanitafuna jamii haswa ya vijana na mabinti.

Mnisamehe kwa haya nlioyasema ila ndio ukweli wa mambo, na uhalisia uliopo.
Nashangaa basata wanavyojifanya hawaelewi... Wcb hawana tafsida yeyote zaidi ya UFIRAUHNI tuu.
Jamaaa wanaharibu jamii yetu saaana
 
Ndio hivyo japo watu wanakataa na kusema ninachuki nao lakn kiukweli hawa jamaa wasafi mambo yao ni machafu kwenye nyimbo zao.na kisaikolojia nyimbo zao zinaanza kuwaathiri watu pasipo kujijua
 
wcb kwa sasa wanahangaika kukuza soko la nje ndo maana wabongo hawazielewi kazi zao bt ukifuatilia comment za watu wa nje AMABOKO WAMEIKUBALI SANA na wcb ikiwa watataka waliridhishe soko la ndani kwao itakua ngumu kuliteka soko la nje
 
Back
Top Bottom