Muziki wa hawa jamaa unakera masikioni..na wasanii wengine uchwara nao wanawaigaDah hongera kwa kuwa na ustahimilivu wa kusikiliza ngoma zao. Hawa jamaa kiukweli nyimbo zao sizielewagi maana hazizungumzii dhamira ya mapenzi kama hisia za upendo na kujali, bali zina central theme ya kuhamasisha ngono mwanzo mwisho.nyingine zimeenda mbali kuhamasisha na kutukuza kushiriki ngono kinyume na maumbile.nyimbo zao na baadhi ya bongofleva zina mchukulia mwanamke kama sex object ambaye she always needs to be fuc**d Muda wowote .
Sawa hata kama wanaimba kile jamii inataka lakini wamezidisha sana kiasi kwamba mmomonyoko wa maadili unanitafuna jamii haswa ya vijana na mabinti.
Mnisamehe kwa haya nlioyasema ila ndio ukweli wa mambo, na uhalisia uliopo.