donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130
Dah, kweli bw.chibu dangote noma aisee mwaliko special
Hahahahahahahaduh huyu Mafikizolo kavaa nini hapo....mambo ya kulazimisha maana anaonekana ni si mtu wa suti na nadhani jitihada imetumika kumlazimisha kuondoa zile shanga za shingoni
Ndoivo mkuu, mi mlanguzi wa ufuta ntazama lini mjengoniSpecial wapi jaman kwenda bungeni ni kawaida sanaaaaaa?
Ndoivo mkuu, mi mlanguzi wa ufuta ntazama lini mjengoni
congratsDah, kweli bw.chibu dangote noma aisee mwaliko special
View attachment 346892
Umemjibu poa sanasiuna mbunge???? nenda kaombe mwaliko uingie
Mbunge wangu mwenyewe majangasiuna mbunge???? nenda kaombe mwaliko uingie
Yeah he deservescongrats
Mbunge wangu mwenyewe majanga
HahahahahahahaKibajaji nn






time for eating The fruits of his Hard WorkYeah he deserves
That's for suretime for eating The fruits of his Hard Work
Yaaan umaarufu wao unacompare na bunge tukufu la jamhuri ya muungano? SMHSidhani kama kwa umaarufu walionao Mafikizolo kule Bondeni wanaweza kutinga Bungeni kirahisi rahisi tu... Eti kwenda kutembea, Halafu nini kinafuatia baada ya hiyo ziara![]()
Ndio nipo kwenye harakati mkuuSasa si umtumbue.
sasa kwa nini ulimchagua....Mbunge wangu mwenyewe majanga