Duuu!Anaimba kishingo upande, unamsifia rais mjinga kama uyu ili iwe nin.
Chibu unaniangusha
Hahahahaaaaa! Umenena mkuuFursa!! Nyie Shangaeni tu
hakuna uhuru usio na mipaka. Kumtukana kiongozi wa nchi ni utovu wa nidhamu.Kama huna hoja wala ubavu wakufanya kile unachotaka wenzio wafanye, shut up masaburi yako. Hili ni jukwaa huru, kila mtu ana haki ya kusema chochote. Puumbavu sana.
Kwa mziki gani? Diamond hana ukali wowote tena ashazoeleka, mwanzoni alikuwa vizuri kwenye kuimba sizingumzii hela. Diamond sahivi amebaki kuimba ujinga ujinga tu ambao umezoeleka
Kiongozi wa nchi akifanya UHUNI ni utovu wa nidhamu, hakuna aliye juu ya sheria.hakuna uhuru usio na mipaka. Kumtukana kiongozi wa nchi ni utovu wa nidhamu.
kwani nani kasema wapo walio juu ya sheria?Kiongozi wa nchi akifanya UHUNI ni utovu wa nidhamu, hakuna aliye juu ya sheria.
Mbona hizo nyimbo zote ulizozitaja ni za kawaida sana msanii ukishapata maarufu utajadiliwa hata ukitoa nyimbo mbovuWe jamaa labda humjui Diamond vizuri na kama unamjua bax ni chuki binafsi... nitajie msanii yeyote hii bongo ambaye akitoa wimbo utajadiliwa kwa kila namna km mond. Ona iyo, iangalie kamata, kaichek na naanzaje zilivozua mijadala... Kwa hayo tu ya kujadiliwa kila akitoa ngoma inaonekana ni kwa kiasi gani anafatiliwa
Hakuna nyimbo mbovu, sema wewe hujazikubali tu.Mm
Mbona hizo nyimbo zote ulizozitaja ni za kawaida sana msanii ukishapata maarufu utajadiliwa hata ukitoa nyimbo mbovu