TinyMonster
JF-Expert Member
- Jun 15, 2009
- 242
- 154
tatizo la dai lilianza kama utani kwa mabeto likahamia kwa dimpoz halafu kina mange wakalipigia punyeto kama utani jamaa kampiga dai KO KAMA MYWEATHERMkuu umeongea kweli, kwa mara ya kwanza nimeshangaa diamond kupata upinzani mkubwa hv, yaani nguvu ya umma ilikuwa nyuma ya Alikiba, naamini kama Diamond angetulia hata wiki moja halafu ndo aachie zilipendwa hii ngoma ingefanya vizuri na ingepokelewa vizuri sn, diamond kwa upande mwingine ndo amesababisha seduce me ya kiba kuipa chat sana, kwa maana hio seduce me haina umaarufu huo kama ilivyopokelewa ila kwa kua ila kwa kua Diamond alikua na nia ovu kwa mwenzie ndo maana watu wakahamia kwa kiba,
si ataoa desemba aisee mtamuua yule mwanamke wa kiswahili/mabeto aka inqubetaKwa leo hatasoma uzi wako, yuko busy anaoa
Si leo hapa nimeona uzi unaonesha na picha anafunga ndoa na ZARI!si ataoa desemba aisee mtamuua yule mwanamke wa kiswahili/mabeto aka inqubeta
nlikuwa busy na duka langu huko leghoSi leo hapa nimeona uzi unaonesha na picha anafunga ndoa na ZARI!
=Slowly[emoji23]Despacito
Mkuu usiandike vitu kwa sababu umeandika Petit na Domo wapi na wapi au kwa sababu shemeji yake ukahisi wapo karibu? Seduce me ni kweli amepewa umaarufu na WCB wenyewe kwa blunders zao wangepotezea hata mwezi hivi ungepotea kama LupelaUzuri mmoja Diamond kazungukwa na kundi kubwa la watu la washauri wasiona na elimu kichwani ndiyo tatizo...... Kama mshauri mkuu mwandamizi wa Diamond mwenye elimu kubwa ni Petity Man mwenye bachelor ya mapishi hapo kuna nini tena.......????