Kubali kataa hujui kuvaa, siku nyingi nilikuwa na jiuliza kuhusu hilo jana nimeprove, hujui kuvaa, cheki Jux na Kiba wanavyotupia,najua chawa wake wamo humu kumtetea niueni ila hajui kuvaa
Kubali kataa hujui kuvaa,siku nyingi nilikuwa na jiuliza kuhusu hilo jana nimeprove,hujui kuvaa,cheki Jux na Kiba wanavyotupia,najua chawa wake wamo humu kumtetea .niueni ila hajui kuvaa
Wewe ni choko wa kanda ile ya kuvaa mitumba huyo diamond ni star anabuni wengine waige kutoka kwake kaangali kanye west anavyovaa mpaka kunyoa
Kaangalie maonyesho ya mitindo utaona
Diamond pigo kibao za kimbele alishavaa alipokuwa nyuma huko sasa vile pesa ipo anavaa tofauti ili iwe style mpya muangalie hata burnaboy wacha ushamba